Rais Samia: Lazima tukusanye Pesa zetu za ndani huko nje masharti yamekuwa yakiongezeka

Sasa mbona alikuwa namkundy jiwe wkwa kuamasisha kujitegemea
 
Naona ameanza kumwelewa Ndugai! Naona ni kama amempa assurence ya kugombea Ubunge tena.
 
Kwani Job Ndugai alisemama nn hadi mkadraft barua kumlazimisha asaini ajiuzulu,Sasa Rais ambaye anachelewa kuelewa(slow learner)ni hasara kubwa sana kwa Taifa,anaungwa mkono na vichaa kama akina Mwijaku na baba levo,ndio useme huyu ana hadhi ya Raisi wa nchi.Leo JOB NDUGAI ameeleweka aliposema tujitegemee kama nchi,Huyu Samia hafai kwa chochote yaani CCM mngekuwa na Akili TIMAMU sidhani kama Samia alistahili ila kwa sababu CCM ni kundi la wajinga wengi na wahuni wengi,wapumbavu wengi,wanafiki wengi ndio maana Samia anejisimamisha tena kama mgombea Urais akisaidiwa na hasara tuliyobakiwa nayo kama mshauri Jakaya kikwete.
 
 

Attachments

  • c056daa87cf1efedcef0f645266ec170_1749629076802.mp4
    4.4 MB
Kwani pesa hz hazikuwa na masharti lini siku zote pesa hizo Zina masharti,Job NDUGAI kalaumiwa kwa kusema ukweli mkamnyang'anya uspika ,magufuli kalaumiwa leo eti huyu mwanamke ambaye alikuwa anadhihaki wanaume eti leo ameelewa.ujinga mkuu.
 
Kwani pesa hz hazikuwa na masharti lini siku zote pesa hizo Zina masharti,Job NDUGAI kalaumiwa kwa kusema ukweli mkamnyang'anya uspika ,magufuli kalaumiwa leo eti huyu mwanamke ambaye alikuwa anadhihaki wanaume eti leo ameelewa.ujinga mkuu.
 
NDUGAI APEWE HESHIMA YAKE HARAKA SANA TENA BILA MASHARTI. HUYU SAMIA AMUOMBE HUYU MWANAUME MSAMAHA HARAKA,MWANAUME AKISEMA HADANGANYI WANAWAKE MUELEWE HIVYO.MWANAUME NI KICHWA.TATIZO MWANAUME AKIONGEA ETI NA MKIA NAO UNAJITOKEZA ETI KUONGEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…