Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Lengo ni hilo lakini kasema ni hiyari so anajua hatafikaLeo kwenye mkutano huko Malawi alipoenda mama yetu raisi wetu amesema lengo ni wananchi wote wachanjwe. Sasa najiuliza ni ndani ya huu mwezi mama alisema chanjo ni hiari anayetaka atachanja na asiyetaka hatachanja.
Ipo hivi kwenye Jambo lolote lile hata liwe la umuhimu kiasi gani ni lazima kuwe na pande mbili, ndio maana unaona Kuna watu wapo wengi tu hawaamini uwepo wa Mungu.
Hivyo hata kama chanjo zingekuwa na faida kiasi gani ni lazima Kuna watu wengi tu wangekataa, sasa hili suala la kusema wananchi wote wachanjwe itawezekana vipi?
Au Kuna mipango ya kuanza kuweka vikwazo kwa wasiochanjwa? Je ile hiari ambayo mmekuwa mkiisema ipo wapi?
Lakini pamoja na yote hayo nina uhakika bado hamtaweza kuchanja watu wote, hata zitumike mbinu za aina gani. Tusubiri muda
#mbowe sio gaidi#
View attachment 1895781
I would love the country to be Covid or hiv free but I can’t achieve that
hasa ukiwa na mijinga kama askofu Gwajima