#COVID19 Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe

Lengo ni hilo lakini kasema ni hiyari so anajua hatafika

I would love the country to be Covid or hiv free but I can’t achieve that

hasa ukiwa na mijinga kama askofu Gwajima
 
Mzee acha kufananisha hayo magonjwa na pandemic. Sasa subiri hali iwe tete kama hutalazimika kuchanja afu uone kama kuna mtu atakupa huduma bila kuchanjwa



Sent using Jamii Forums mobile app
Pandemic gani? Nini kinaua zaidi kati ya Malaria, TB, HBP, Diabetes, Cancer, HIV, na Corona?
Yaani ubadilishwe maumbile yako, kuwa kitu kingine ambacho hukijui eti kwa sababau ya huduma? Huduma gani ambayo inathamani kuliko ubinadamu wangu? Hapa ni uamuzi wa mtu anaitwa Esau na Yakobo. Chagua kande ama haki ya mzaliwa wa kwanza. Kipi chneye thamani?
 
Lengo ni hilo lakini kasema ni hiyari so anajua hatafika

I would love the country to be Covid or hiv free but I can’t achieve that

hasa ukiwa na mijinga kama askofu Gwajima

Hivi wewe unaweza kujlilnganisha na Gwajima? Kwa nini usimjibu kisayansi kwahoja zake? Kama una ufahamu japo kidogo, nchi gani ambayo iko free from Covid 19, kwa sababu ya chanjo?
Unajua kinachoendelea sasa hivi na WHO, kuhusu corona baada ya kuona chanjo zimefail?
Kama Gwajima ni mjinga, basi wewe uko chini ya pumbavu.
 
Chanjo unapata Kwa kusaini fomu kama unaenda kufanyiwa upasuaji mkubwa.Na side effects zikitokea hawamo na lazima effects zitakuw za mda mrefu,ili wote tuchanjwe .so after ten yrs may be tuimbe wimbo mmoja.
 
Huyu sio Mama, ni Gagula, wa kwenye simulizi ya MACHIMBO YA MFALME SULEIMAN
 
Haa😂🤣😃😁😀😄😃😅😃🤣😂
Hawa Wameshindwa Kutoa Vitambulisho Vya Taifa Kwa Kila Mtanzania Mwenye Sifa Leo Tena
Huko Malawi Tamko Ni Kuwa Wote Tuchanjwe
Viongozi Wetu Wajitahidi Kuwaondolea Wananchi Taharuki!!!




Tubaki Kwenye Kutoa Elimu Halafu Wananchi Wataamua Wenyewe Iwapo Chanjo Ama Kusubiri Baadaye. Unapolazimisha Lazima Watu Wahoji





Mpaka Sasa Hivi Tunaona Viongozi Wanarudi Kwa Police & PCCB Kisa Chanjo
 
Chanjo unapata Kwa kusaini fomu kama unaenda kufanyiwa upasuaji mkubwa.Na side effects zikitokea hawamo na lazima effects zitakuw za mda mrefu,ili wote tuchanjwe .so after ten yrs may be tuimbe wimbo mmoja.
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Baghoshaa!!
Mwafaa😀😀😁😁😁😂😂🤣🤣🤣😃😃😃
Jiwe
 
SiweZi kujilinganisha na huyo jamaa nehiii

sipigi ramli
Chanjo zimefeli kivipi? Effectiveness our roll out?
 
Umenikumbusha juzi binti yangu kalalamika kuwa amepoteza fedha nyingi kupima corona na kupata certificate wakati akitoka country A kwenda B. Akatamka kuwa kama angalikuwa amechanja hiyo hasara asingelipata. Nikamshauri sasa ni wakati wa kuchanja maana ulaya ni wajanja, wanasema ni hiari wakati utapata vigingi vingi mwisho utapazimika. Tumekubaliana akirudi Country A baada ya matembezi yake Achanje.

Hata nyie vijana mnaosuasua kuchanja, chanjeni wakati chanjo ni bure na bado haijaexpaya la sivyo mtachanjwa maji tu. Hewala yashinda utumwa .
 
Umeona eeeh,Yaani serikali iingie gharama ya kutoa vitambulisho vya kielectronic kwa wasiochanja halafu kusiwe na masharti? Ni suala la muda tu watu watajipeleka wenyewe kuchanja.
Kuna watu sio waumini wa Barakoa hata kidogo lakini wakienda baadhi ya maeneo huwa wananywea wanavaa Barakoa.Mahospitalini,Ofisi za Umma nk.Kama Barakoa tu Ina masharti sembuse chanjo?
 

Correct “Mama yako” Sio Mama Yetu!
 
Ishu muda tu mkuu anaebisha ataelewa na atachanja pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP JPM. Kwa yanayoendelea ilibidi uondoke maana ulikuwa kikwazo tumekumiss sana.
 
Lengo ni watu wetu wote wachanjwe kwa hiari..

Kwani watu wakipewa elimu na kuelewa umuhimu wa chanjo na kukubali kuchanjwa kina shida gani?..

Hata huko USA chanjo ni hiari, lakini Serikali inajitahidi kufanya campaign ili watu wengi waridhie kuchanja kwa hiari..

Kuna wakati tunapaswa kutumia fikra zetu vizuri Watanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…