Rais Samia: Leo nimepata nafasi, naitazama mechi ya Simba na Yanga

Rais Samia: Leo nimepata nafasi, naitazama mechi ya Simba na Yanga

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa.

Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama

 
Hivi asipoongea huwa anawashwa mdomo?
Kampeni zimemshinda?
 
Mama muoga huyu.
Afungue jamii forum na twitter.
Yeye anataka watanzania wote tuwe vilaza.
Jamii forum in general ni great thinkers na ndio maana tunatofautiana mitazamo na matusi juu lakini hatukimbii jf.
 
Naona jana waliforce mama asikike ila nilichogundua hakubaliki kabisa...nilipokuwepo kila mtu alipiga kelele toa hilo bibi!
 
Hamna kitu mashabiki wengi hawapendi kama hizo mbanga za siasa.
Watu wanaelekea mpirani kuachana na uongo wa wanasiasa bado wanafatwa hukohuko
 
Back
Top Bottom