Hii single imeshachuja.Bandari zote za Tanganyika kuchukuliwa na waarabu si SAWA
Hauna akili.Hii single imeshachuja.
KabsaHauna akili.
Kutaka kuokoa rasilimali za taifa letu hakuwezi kuwa sawa na single ya studio, nenda kule chit chat kacheze na watoto wenzio.
Imefunikwa na habari za mini Cabinet reshuffle, huku kitaa watu wanamshangaa Katelefone kupigwa vijembe na yeye kuzubaa badala ya ku jump ship na kujiunga na Umoja Party ya Polepole.Hii single imeshachuja.
Nani kasema zimechukuliwa?Bandari zote za Tanganyika kuchukuliwa na waarabu si SAWA
Akiwa Ikulu ndogo Zanzibar leo September mosi 2023 kwenye uapisho wa mawaziri aliowateua Rais Samia amesema mabadiliko aliyoyafanya sio adhabu bali kuboresha. Rais Samia amesema maendeleo lazima yawe na bandika bandua.
Rais Samia amewataka walioteuliwa kutumikia watu na upole si ujinga. Kwa wateuliwa wapya kabisa amesema wamekuwa wakipaza sauti kwa mawaziri bungeni sasa ni zamu yao kwenda kutekeleza waliyokuwa wakiyapigia kelele.
Imechuja kweli !!Hii single imeshachuja.
Yuko vizuri ajichunge na Mchwa tu.
Hii single imeshachuja
Amewaambia wakalale ndo tagsiriHana jipya kabisa huyo Maushungi
Umemsikia VP leo? Safu ya ushindi imeshapangwa sasa mkajipangeIncredibly stupid comment I see here.
hii tabia wanayo sana marais wanzanzibari, ni hasani mwinyi na huyu mmama tu, sijui uvivuNdio nini kuteua Naibu waziri mkuu? Hajalitolea ufafanuzi? Maana naamini nae anakosea sana tu.
Hahahah single imechujaaaHauna akili.
Kutaka kuokoa rasilimali za taifa letu hakuwezi kuwa sawa na single ya studio, nenda kule chit chat kacheze na watoto wenzio.