Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.

Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.

Wallahi itafikia kipindi kuna mtu atavaa bomu na kujilipua mbele ya Hawa ******* *******
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.

Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.

Ajiroge siku aseme watanzania wanahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
1787994488816.png
 
Ndani ya kipindi chake cha urithi alioachiwa(maana hatukumchagua) spika wawili walijiuzulu na mmoja kamuua ,waziri mkuu kajiuzulu,balozi kajiuzulu na akauliwa(polepole),makamu dkt chimbi kajiuzulu na anataka kuuliwa.watu wote hawa kujiuzulu ni jibu tosha kuwa tuna rais wa hovyo kabisa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.

Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.

..amesahau yaliyotokea OCT 29 na chaguzi zingine zilizopita?

..kila uchaguzi kuna vurugu, majeruhi, na vifo, halafu anasema tunabadilishana uongozi bila vurugu?

..Mama uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana.

..hana msingi wa kielimu wa kuweza kuongoza taifa kubwa kama Tanzania.
 
Back
Top Bottom