Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
MAdhara ya kurithishwa rais asiye na utimamu wa akili yametugharimu sana watanganyika.
same hereSijui kwa nni sitaki kuona hata picha wala kusikia sauti yake Dah MUNGU anisamehe tu maaana hata sijui kwa nn najiskia vibaya sana
View attachment 3659399View attachment 3659400View attachment 3659401View attachment 3659402View attachment 3659404
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ni matamanio na matarajio ya Watanzania wote kwamba Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, ataitumikia vyema Tanzania kwa utii, uaminifu, utu, busara, hekima, uzalendo na maarifa.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi, Agosti 29, 2026, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, mara baada ya kumuapisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema uteuzi wa Ndejembi umetokana na kuzingatia sifa na vigezo alivyo navyo, ikiwemo umri wake ambao, kwa mujibu wa Rais Samia, bado ni kijana mwenye nguvu, ari na kasi ya kujituma katika kutekeleza shughuli za Serikali.
“Nivishukuru vikao vya Chama cha Mapinduzi vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kwa kupendekeza na kuridhia jina la Deogratius Ndejembi katika nafasi ya Makamu wa Rais,” amesema Rais Samia.
Amesema kwa kauli moja waliamua kuirudisha nafasi hiyo kwa vijana ili waendelee kulelewa katika uongozi, akimtaka Ndejembi akue kiakili kutokana na ukubwa wa majukumu aliyopewa.
Rais Samia amesema Ndejembi ana uzoefu wa uongozi serikalini na sekta binafsi, hivyo anaamini uzoefu huo utamsaidia kutekeleza majukumu ya dhamana hiyo.
“Cheo ni dhamana, cheo hiki tulichokupa sio ufalme ni dhamana. Ni dhamana uliyopewa na Watanzania kupitia Chama cha Mapinduzi lakini pia kupitia Bunge,” amesema.
Ametoa wito kwa Ndejembi kuwatumikia Watanzania bila kujali tofauti zao, huku akisisitiza umuhimu wa umoja, mshikamano, ushirikiano, utulivu na uongozi bora katika kutekeleza Ilani ya CCM ya 2025–2030 na Dira ya Maendeleo ya miaka 25 ijayo.
Rais Samia pia amewashukuru mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria tukio hilo, akisema uwepo wao unaonesha urafiki, udugu na ushirikiano na Tanzania, pamoja na ushahidi wa uwezo wa nchi kubadilisha viongozi kwa amani na utulivu.View attachment 3659419
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.
Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.
View attachment 3659347nchimbi yuko wapi🤦🏾♂️😂
Mabalozi wameshuhudia rais ambaye hajachaguliwa na wananchi, akimuondoa Makamu wa Rais ambaye hajachaguliwa na wananchi, na kumuweka Makamu wa Rais mwingine ambaye hajachaguliwa na wananchi.Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.
Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.
64-IQHuyu Rais ana akili ? Yaani katiba ni ya Tanzania unatuambia mabalozi wanaifurahia ? Wtf ?
Faki zati demon-possessed bi+ch!Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.
Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.
Kuna comment moja ngoja niiache KICHWANIKwenye uapisho Nchimbi alikuepo?
Yaani hii ni kielelezo tosha kuwa hakuna katiba mpya. Na wanachofanya ni delay technique. Aisee bila shinikizo la kimataifa na kutoka kwa wananchi hakuna katiba mpyaRais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.
Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.
Nguvu na uhuni ndivyo vimetumika kufanya hiyo transition of power, Rais gani hajui ata kinachoendelea!?Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.
Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru wageni waalikwa, mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Ikulu Chamwino, akisema uwepo wao unaonyesha urafiki, undugu na ushirikiano na Tanzania.
She's just a useful moron for oligarchy and few rich people, she has a very tiny brainSome times, I wonder what goes on in her brain!, it's mind boggling how ones believes here own stupidity!
Ccm hawaendeshi nchi kwa, katiba,ni criminal state, kikundi cha watu, kinafanya kinavyotaka!
I think the only language this "stain in humanity" Can understand, ni barrel of a gun
Anataka misukosuko ipi zaidi ya kuweka watu under house arrestsRais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania.