Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

 

Attachments

  • VID-20260829-WA0036.mp4
    14.7 MB
 
Inabadiri nafasi ni kweli lakini inawapa mamlaka makubwa sana na kujiona nyie ndiyo kila kitu kuliko watu wengine, sisi wananzengo tunahitaji katiba mpya ambayo itawawajibisha wala rushwa, mafisadi,kupunguza mamlaka yenu ya teuzi, katika yenye kulinda rasilimali zetu,katiba yenye kutoa fursa kwa makundi mbalimbali yakiwemo ya vyama vya siasa,wakulima nk
 
Mabalozi wameshuhudia rais ambaye hajachaguliwa na wananchi, akimuondoa Makamu wa Rais ambaye hajachaguliwa na wananchi, na kumuweka Makamu wa Rais mwingine ambaye hajachaguliwa na wananchi.

Yani kuwa na Makamu wa Rais ambaye hajachaguliwa na wananchi haikutosha, Rais kaamua kumbadilisha kumuweka mwingine ambaye hajachaguliwa na wananchi.
 
Faki zati demon-possessed bi+ch!
 
"Tunaweza kubadilisha nafasi kubwa bila ya misukosuko na kwa amani na utulivu"
 
Yaani Samia anaona hao wazungu ni wajinga hawajui uhalisia?
 
Mnafukuza mtu halafu mnadai hakuna misukosuko. Very stupid woman.
 
ANATUNG'ONG'A KWA UJINGA WETU WATANGANYIKA.
 
Yaani hii ni kielelezo tosha kuwa hakuna katiba mpya. Na wanachofanya ni delay technique. Aisee bila shinikizo la kimataifa na kutoka kwa wananchi hakuna katiba mpya
 
Nguvu na uhuni ndivyo vimetumika kufanya hiyo transition of power, Rais gani hajui ata kinachoendelea!?

Hivi tuna Rais au zombie like creature!?

Yeye mwenyewe kaingia kwa nguvu, uuaji, uhuni na ubabe kwenye kiti.

Ukitumia upanga kupanda juu, utashushwa kwa upanga pia. Hii kanuni iko so practical, anguko la Samia haliko mbali.
Mark my words.
 
She's just a useful moron for oligarchy and few rich people, she has a very tiny brain
 
Anataka misukosuko ipi zaidi ya kuweka watu under house arrests
 
Ni kweli kabisa,katiba hii hii ndio marais wenye asili ya utanganyika waliitumia vyema na nchi ikapata maendeleo,iweje Leo ionekane haifai kisa Rais ni WA visiwani!!?

Tuache unafiki,katiba hii ilimwezesha mkapa,kikwete,Hadi JPM na mambo yakawa bam bam kama sasa wakati wa daktari samiah!!

Tuvumiliane!

Kazi na utu,tunasongambele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…