Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

Ubarozi nani wa kumpokea kachero hatari huyo [emoji23][emoji23][emoji23] sikumbuki vizuri lakini kuna kipindi aliteuliwa ubarozi wakamkataa baada ya kupitia profile lake, lakini pia umri hauruhusu.
Umri unamruhusu, refer Dr Slaa aliteuliwa akiwa na kama miaka 68. Sema cv yake Mabeyo kwa nchi za ulaya sio rahisi kumkubali.
 
Ubarozi nani wa kumpokea kachero hatari huyo [emoji23][emoji23][emoji23] sikumbuki vizuri lakini kuna kipindi aliteuliwa ubarozi wakamkataa baada ya kupitia profile lake, lakini pia umri hauruhusu.
Labda anaweza akawa DG TISS hata kwa mkopo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…