Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

Tayari huko. Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Ngorongoro(NCAA)
 
Wanampokea vizuri sana, kwa nchi za ulaya maana sie hatuna utisho kwa nchi zozote za ulaya, labda kama nchi za Africa mashasirki ndio nongwa
Yupo sahihi. Ufaransa walimkataa wa dizaini yake miaka fulani, akapewa ukuu wa Mkoa kama sikosei
 
Mabeyo alicheza kama PELE kupambana mpaka SSH akawa rais wa sita wa JMT. Ni tofauti na wastaafu wengine wengi tunaowajua.
 
Hao wastaafu wengine walifanyaje? Weka nyama tafadhali.
Bila ya Mabeyo kumkingia kifua SSH leo hii angekuwa ametulizwa na walafi wakiwa pale ikulu. Akasimamia katiba ya sasa ifuatwe na akiwa na mabavu ya mwanajeshi mwenye cheo cha juu kabisa, kauli yake ikaheshimiwa.

SSH ni rais wa awamu ya sita wa kwanza mwanamke, usifikiri mamilioni ya wanaume wanapenda hiyo heshima. Inawabidi wawe wapole tu.

JPM alisema akiondoka SSH awe mrithi wake hivyo Mabeyo akalazimika kuifuata kauli hiyo.
 
Back
Top Bottom