Geresha tuu kama za Kabudi na LukuviRais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni
Source ITV habari
Hili nalo nenoKulikuwa na hajagani ya kustaafu kama bado ananguvu.
Anashindwa kustik kwenye mada anakurupuka tu.Kama hana la kuchangia akae kimya.kila komenti yako ina ukabila ndani yake,hivi una shida gani we jamaa?
Sawa
Ni report sasaKuzuiwa kupost mpaka akili zikukae sawa
Wataendelea kustaafu akina Matonya vigogo wao ni kula nchi kwa kwenda mbeleRais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni
Source ITV habari
Yupo sahihi. Ufaransa walimkataa wa dizaini yake miaka fulani, akapewa ukuu wa Mkoa kama sikoseiWanampokea vizuri sana, kwa nchi za ulaya maana sie hatuna utisho kwa nchi zozote za ulaya, labda kama nchi za Africa mashasirki ndio nongwa
Hata Mabeyo mwenyewe kishawahi kukataliwa sema sikumbuki ni nchi gani.Yupo sahihi. Ufaransa walimkataa wa dizaini yake miaka fulani, akapewa ukuu wa Mkoa kama sikosei
Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni
Source ITV habari
Amefikisha miaka 60Kulikuwa na hajagani ya kustaafu kama bado ananguvu.
Mabeyo alicheza kama PELE kupambana mpaka SSH akawa rais wa sita wa JMT. Ni tofauti na wastaafu wengine wengi tunaowajua.
Bila ya Mabeyo kumkingia kifua SSH leo hii angekuwa ametulizwa na walafi wakiwa pale ikulu. Akasimamia katiba ya sasa ifuatwe na akiwa na mabavu ya mwanajeshi mwenye cheo cha juu kabisa, kauli yake ikaheshimiwa.Hao wastaafu wengine walifanyaje? Weka nyama tafadhali.