Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
Screenshot at 2021-09-09 13-22-18.png
 
Huku kuna Mbowe
Kule Hamza
Hao watalii watakao kuja Tozonia labda Alshababu wa Somalia/Mozambique na Talban
 
Lisu anaenda kuumbuka sasa, ameshiriki kuchafua sana jina la Tanzania
 
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
View attachment 1930449

mwambie aliekutuma kuwa watalii hawapendi kwenda nchi yenye ugaidi
 
Lisu anaenda kuumbuka sasa, ameshiriki kuchafua sana jina la Tanzania

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamuumbua lissu kwa kutangaza utalii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akili za wapi izi??
 
Madam President, lets cross our fingers it works. Maana itakuwa shida kama hakuna litakalopatikana
 
Sawa Mtemi tumekuelewa sana tu!! Wewe endelea tu kuupiga.
 
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
View attachment 1930449
Inaweza kupunguza badala ya kuongeza.

Kuna watu hawaijui Tanzania. Itakapotajwa, watapenda kujua ni nchi ya namna gani. Na hapo ndipo watakapoambiwa kuwa ni nchi ya Afrika ambayo ilikuwa inaongozwa na dikteta aliyekuwa akiwaita wazungu wote ni mabeberu na wanyonyaji. Alipofariki, makamu wake, akawa mwanamke wa kwanza kuwa Rais. Na hivi karibuni amedhihirisha kuwa ni Rais pekee mwanamke dikteta Duniani, ambaye amekuwa anawabambikizia kesi za ugaidi wapinzani wake.

Baada ya hapo, nadhani sifa ya Tanzania na Rais itakuwa imepaa kuliko wote Duniani.
 
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
View attachment 1930449
Tusidanganyane, watalii hawawezi kuja nchi yenye magaidi.
 
Back
Top Bottom