Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
View attachment 1930449
Lisu anaenda kuumbuka sasa, ameshiriki kuchafua sana jina la Tanzania
kwani Lissu ndiye aliyeitangazia dunia kuwa tanzania kuna kiongozi anafadhili ugaidi au ndiye aliyetangazia dunia kuwa Hamza kada wa ccm alikuwa gaidi wa kujilipua?Lisu anaenda kuumbuka sasa, ameshiriki kuchafua sana jina la Tanzania
Lipa kodi. Uki oneshwa salary slip ya mfanya kazi wa uma aliye soma kwa mkopo uta lia na hayo makato.Watalii wanaogopa kuja kwasababu ya tozo mpya ya miamala
Nalog off
Inaweza kupunguza badala ya kuongeza.Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
View attachment 1930449
Tusidanganyane, watalii hawawezi kuja nchi yenye magaidi.Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
View attachment 1930449