Rais Samia, makandarasi tunakupa Big Up!

Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, ni wadau wa ujenzi wa kisasa, tuna kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ujenzi za kisasa na Tunahitaji mafundi ujenzi, kuanzia wa kiwandani kwenye uzalishaji mpaka kwenye ufundi wenyewe. Tuinahitaji mafundi wa viwango tofauti, kuanzia wanaohitaji kujifundisha ujenzi mpaka wale wazoefu wa kusimamia kazi. Tupo very strict kwa ubora. Kama unapenda kufanya kazi na watu wenye kujali ubora wa kazi za ufundi, nidhamu za kazi za ufundi na mwenye kujali miiko ya kazi za ufundi na sio uwingi wa kazi basi wasiliana nasi.

Pia tupo tayari kuongea na vikundi au makampuni na madalali wa mafundi ujenzi namna ya kushirikiana.

Kwa maelezo zaidi fika tuonane ana kwa ana au tuma WhatsApp 0625249605. Tupo, Mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha, Pwani. Tanzania.
 
Makandarasi wanampenda Mama Samia. I am not surprised. Siku hizi barabara hazijengwi tena.. Wanatifuatifua udongo tu forever. Hakuna mtu wa kuwauliza,"Mbona barabara haijakamilika,? Enh? Mbona barabara haijakamilika? Enh? Unajibizana na mimi? Unabishana na mimi? Usibishane na mimi. Mi nimefanya kazi hii ya ujenzi miaka ishirini. Nimekuuliza,kwa nini barabara haijakamilika? We kazi basi. Nitamtafuta makandarasi mwingine."
 
Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa.

Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5.
Baada ya hapo sijui lilitokea sintafahamu lipi, maana tukapigwa tanchi tusielewe.

Mara hakuna kumpa kazi mzawa ati anaiba sana.
Mara afwazali kumpa kazi fundi Maiko, kwa Force Account.
Wizi uliotokea katika miradi ya umma wote tunafahamu!

Makandarasi wengi, tena wadogo wadogo wakakosa kazi, wengi wakarudisha leseni za kazi na kuua kampuni zao.
Mimi leseni nilisha irudisha kwa wenyewe, ila sasa napata matumaini kurudi ulingoni.

Huku nyuma waliosalia waanza kuwindwa na TRA pamoja na na wanasiasa.
Waziri Jafo, sijui alitumwa?, alimnanga mkandarasi mpaka akazimia.

hqdefault.jpg
Nyie madanadarasi kama kweli mnampa BIG UP mama Samia inabidi muoneshe kwa kazi zenu kuwa za viwango!! So far mnapendelewa mnapewa kazi kwa kigezo cha kuwapendelea wazawa lakini kazi mnazofanya hasa kwenye ujenzi wa barabara sio za kuridhisha; barabara mnajenga lakini kila Mwaka mvua zikinyesha zinaharibika hivyo kulazimika kutumia fedha nyingi tene kuzitengeneza kila Mwaka!! Inaelekea mnafanya makusudi ili mpate kazi hizo hizo kila Mwaka ,huo ni ufisadi na sio uzalendo, badilikeni kama kweli mnataka kumuunga mkono jitihada za Samia!
 
Toa mfano wa barabara zilizojengwa chini ya viwango na wakandarasi wazalendo.
Na umepita Kariakoo na kuona barabara zilizojengwa na Mchina miaka mitatu iliyopita?
Msiwe na mawazo ya kukariri!
 
Kwenye suala la ukandarasi sijawahi kuwakubali wakandarasi wazawa. Nina orodha ya projects za wazawa ambazo ziko chini ya kiwango.
 
Usiongee kama umelishwa kaseti, toa mifano.
Nasi tutakuonyesha miradi mliyokula 50%( siyo 10%).
Tuanzie Kariako iliyojengwa na mchina mradi wa DMDP.
Barabara zina miaka mitatu mashimo matupu sasa.
Kwa unafiki wenu mnajidai hamuoni.
 
Mama anaupiga mwingi.
#SSH2025
#mamaMaendeleo
 
Toa mfano wa barabara zilizojengwa chini ya viwango na wakandarasi wazalendo.
Na umepita Kariakoo na kuona barabara zilizojengwa na Mchina miaka mitatu iliyopita?
Msiwe na mawazo ya kukariri!

Barabara za vijijini ndio usiseme , mnafukia fukia tu na kugawana hela na wakurugenzi!!
Nitakupa mfano wa Barabara moja tu maarufu hapa Dar. ambayo bila shaka unaifahamu ni hiyo ya kutoka AFRICANA mpaka kwenye KEEP LEFT ya kwenda WHITESANDs; hii barabara kila Mwaka invariably baada ya mvua tu lazima itengewe fedha ya kufanyiwa ukarabadi na nadhani anapewa contractor yule yule kila Mwaka kurekebisha drainage system!!!
Kuna wakati kuna contractors walipigwa marufuku wasipewe kazi za ujenzi wa barabara Dar kwasababu ya kazi zao za kitapeli!!
Pengine wakati huo ulikuwa bado uko mkoani!
 
Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa.

Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5.
Baada ya hapo sijui lilitokea sintafahamu lipi, maana tukapigwa tanchi tusielewe.

Mara hakuna kumpa kazi mzawa ati anaiba sana.
Mara afwazali kumpa kazi fundi Maiko, kwa Force Account.
Wizi uliotokea katika miradi ya umma wote tunafahamu!

Makandarasi wengi, tena wadogo wadogo wakakosa kazi, wengi wakarudisha leseni za kazi na kuua kampuni zao.
Mimi leseni nilisha irudisha kwa wenyewe, ila sasa napata matumaini kurudi ulingoni.

Huku nyuma waliosalia waanza kuwindwa na TRA pamoja na na wanasiasa.
Waziri Jafo, sijui alitumwa?, alimnanga mkandarasi mpaka akazimia.

hqdefault.jpg
dah! inaniskitisha sana kazi kupewa wakandarasi wazawa

kwa hakika huwa tunawapenda sana wazawa kama watanzania wenzetu , ila ki ukweli kabisa mmekuwa kero sana kwenye kazi zenu

kwanza kabisa huwaga humjali kabisa maslahi ya wafanyakazi wenu na hata kulipa tu mishahara ni kero

kufanya kazi kwenye kampuni ya mzawa, kukulipa mshahara tarehe 50 kweke ni kitu cha kawaida sana

nimefanya kazi na kampuni moja ya umeme, nimefanya kazi kwa muda wa mwaka mmoja cha kuskitisha tangu naanza kazi mpaka namaliza, mshahara haujawahi kutoka bila kugoma

makampuni mengine ya wazawa yanadiliki hata kuwadhurumu kabisa wafanyakazi wao na kutokomea kusiko julikana

kwakwel nimeskitishwa sana wazawa kupewa kazi
 
Ni nani asiyejua kuwa wakandarasi mlikuwa wababaishaji, wezi, msiojali muda, msiokamilisha miradi (hata baada ya kulipwa pesa zote)? Wewe unataka kutufanya sie wajinga tusioijua hii nchi? Sana sana hapo unaweza kuwa unafurahia kuwa mianya ya upigaji imerudi tena, who knows!
 
Barabara za vijijini ndio usiseme , mnafukia fukia tu na kugawana hela na wakurugenzi!!
Nitakupa mfano wa Barabara moja tu maarufu hapa Dar. ambayo bila shaka unaifahamu ni hiyo ya kutoka AFRICANA mpaka kwenye KEEP LEFT ya kwenda WHITESANDs; hii barabara kila Mwaka invariably baada ya mvua tu lazima itengewe fedha ya kufanyiwa ukarabadi na nadhani anapewa contractor yule yule kila Mwaka kurekebisha drainage system!!!
Kuna wakati kuna contractors walipigwa marufuku wasipewe kazi za ujenzi wa barabara Dar kwasababu ya kazi zao za kitapeli!!
Pengine wakati huo ulikuwa bado uko mkoani!
Wewe ni muongo usiye na aibu.
Barabara ya Africana toka jumction ya Bagamoyo rd hadi keepleft ya kwenda Whitsands ilijengwa na KONOIKE mwaka 2000 katika mradi wa Beach Roads.
Chuki yako kwa watanzania wenzako itakuacha masikini wa kipato na akili.
 
dah! inaniskitisha sana kazi kupewa wakandarasi wazawa

kwa hakika huwa tunawapenda sana wazawa kama watanzania wenzetu , ila ki ukweli kabisa mmekuwa kero sana kwenye kazi zenu

kwanza kabisa huwaga humjali kabisa maslahi ya wafanyakazi wenu na hata kulipa tu mishahara ni kero

kufanya kazi kwenye kampuni ya mzawa, kukulipa mshahara tarehe 50 kweke ni kitu cha kawaida sana

nimefanya kazi na kampuni moja ya umeme, nimefanya kazi kwa muda wa mwaka mmoja cha kuskitisha tangu naanza kazi mpaka namaliza, mshahara haujawahi kutoka bila kugoma

makampuni mengine ya wazawa yanadiliki hata kuwadhurumu kabisa wafanyakazi wao na kutokomea kusiko julikana

kwakwel nimeskitishwa sana wazawa kupewa kazi
Una tatizo binafsi, tafuta mhindi wa kukuajiri, pengine utasuuzika roho yako.
Tarehe 50 hakuna katika kalenda!
 
Ni nani asiyejua kuwa wakandarasi mlikuwa wababaishaji, wezi, msiojali muda, msiokamilisha miradi (hata baada ya kulipwa pesa zote)? Wewe unataka kutufanya sie wajinga tusioijua hii nchi? Sana sana hapo unaweza kuwa unafurahia kuwa mianya ya upigaji imerudi tena, who knows!
Nyie watu wajinga wajinga msio na upeo wa kuona mbali ndio mnanunulika kirahisi.
Wala hankumbuki kuwa ni kampuni ya Kajima iliyovurunda Barabara ya Kilwa.
Wala hamkumbuki barabara mbovu ya Tegeta/Mwenge iliyojengwa na wageni.
Barabara finyu na sasa mbovu ya Morogoro karibu na Korogwe wala hamuoni.
Mtu mjinga ni kama mtumwa wa mawazo.
Barabara zilizojengwa na wachina Kariakoo wala hamzioni.
Hatutakuamsha maana una kaujinga ka kujitakia.
 
Wewe ni muongo usiye na aibu.
Barabara ya Africana toka jumction ya Bagamoyo rd hadi keepleft ya kwenda Whitsands ilijengwa na KONOIKE mwaka 2000 katika mradi wa Beach Roads.
Chuki yako kwa watanzania wenzako itakuacha masikini wa kipato na akili.

Mnapotuibia hamfikirii Kuwa watanzania wenzetu mnawaumiza kwani wao ndio walipa hizo tozo na kodi mnazoilipwa kwa kazi zenu mbovu!!
Nimekwambia hiyo barabara haiishi matengenezo ya drainage kila baada ya mvua na hata hivyo hiyo barabara KONOIKE alisubcontract waswahili!! Kwanini hamtaki kusikiliza mkiambiwa ukweli? Je na hao walofungiwa wasipewe kazi tena hapo mkoani Dar, walikuwa Wajapan/wachina? Usibishe bure sio siri Kuwa nyie macontractor mnaojitia wazawa ndio wezi wakubwa mnadai serikali hata pale ambapo hamjafanya kazi!!! Ndio maana madai yenu lazima yahakikiwe mara mbili mbili kwani mmegundulika kuwa sio waaminifu!
 
Nyie watu wajinga wajinga msio na upeo wa kuona mbali ndio mnanunulika kirahisi.
Wala hankumbuki kuwa ni kampuni ya Kajima iliyovurunda Barabara ya Kilwa.
Wala hamkumbuki barabara mbovu ya Tegeta/Mwenge iliyojengwa na wageni.
Barabara finyu na sasa mbovu ya Morogoro karibu na Korogwe wala hamuoni.
Mtu mjinga ni kama mtumwa wa mawazo.
Barabara zilizojengwa na wachina Kariakoo wala hamzioni.
Hatutakuamsha maana una kaujinga ka kujitakia.
Mtu mjinga ni wewe unayejifanya kuwa watanzania wengine hawaoni kitu chochote isipokuwa wewe peke yako.
Sote tunajua kuwa wakandarasi wetu wengi (wazawa) walizoea mienendo ya kifisadi wakati wa Kikwete, wewe huwezi kuona kwa kuwa ujinga umekujaa na ulikuwa mmoja wao. Hatuwezi kutegemea mkandarasi mjinga kama wewe ufanye kazi ya maana. Ujinga wenu ndio umetufikisha hapa tulipo.
Mtu mjinga ni wewe unayeleta post za kujikomba kwa watawala ili upate uteuzi. Kila siku una post ya kuimba pambio, kama huo siyo ujinga na uchawa ni kitu gani
 
Ila tunashauri Miradi mtaksyopewa muijenge kwa ubora wake.Sio mfanye kurudia Yale mliyokuwa mnafanya enzi ya awamu ya nne.Mkandarasi mzawa alikuwa anajenga Barbara kwa kulipia ilhali pesa zote amelipwa.Barara inakabidhiwa baada ya kukamilika,lakini baada ya miezi 7 tu,barabara yote Inakuwa imejaa mahandaki ya mashimo.Kisa Ni kwamba mkandarasi anamhonga consultant na Engeneer kutoka Tamisemi,anaukubali mradi umekamilika hata Kama umejengwa chini ya kiwango kwa asilimia 80.Kisa hakuna anayeshitakiwa kwa kutumia fedha za Uma vibaya.Ndio maana Magu alipoingia madarakani,makandarasi wazawa woote waliokuwa makanjanja aliwafukulia/kuwafutia mbali.Bravo! the late Magu.Mungu akulaze mahala pema peponi.Tunakukumbuka kwa mema na ujasiri wako.
 
Mtu mjinga ni wewe unayejifanya kuwa watanzania wengine hawaoni kitu chochote isipokuwa wewe peke yako.
Sote tunajua kuwa wakandarasi wetu wengi (wazawa) walizoea mienendo ya kifisadi wakati wa Kikwete, wewe huwezi kuona kwa kuwa ujinga umekujaa na ulikuwa mmoja wao. Hatuwezi kutegemea mkandarasi mjinga kama wewe ufanye kazi ya maana. Ujinga wenu ndio umetufikisha hapa tulipo.
Mtu mjinga ni wewe unayeleta post za kujikomba kwa watawala ili upate uteuzi. Kila siku una post ya kuimba pambio, kama huo siyo ujinga na uchawa ni kitu gani
Nimkuambia toa mifano unabwabwaja tu.
Kopo tupu huwa haliachi kutika.
 
Mnapotuibia hamfikirii Kuwa watanzania wenzetu mnawaumiza kwani wao ndio walipa hizo tozo na kodi mnazoilipwa kwa kazi zenu mbovu!!
Nimekwambia hiyo barabara haiishi matengenezo ya drainage kila baada ya mvua na hata hivyo hiyo barabara KONOIKE alisubcontract waswahili!! Kwanini hamtaki kusikiliza mkiambiwa ukweli? Je na hao walofungiwa wasipewe kazi tena hapo mkoani Dar, walikuwa Wajapan/wachina? Usibishe bure sio siri Kuwa nyie macontractor mnaojitia wazawa ndio wezi wakubwa mnadai serikali hata pale ambapo hamjafanya kazi!!! Ndio maana madai yenu lazima yahakikiwe mara mbili mbili kwani mmegundulika kuwa sio waaminifu!
Chimba ujue kwa nini wale makandarasi waliondolewa kinyume na sheria, eti hawatakiwi DSM.
Waliombwa rushwa na hawakutoa, mmoja aliombwa 200m na kiongozi mkoani.
Sasa nyie mazwazwa hamjui hata kandarasi zinaeneshwaje.
Mkandarasi akikosea kazi ANAIRUDIA kulingana na mkataba.

Hao makandarasi vile vile waliingia siasa.
Wakaipata.
 
Back
Top Bottom