Rais Samia maliza kazi ipapatue Zanzibar kwenye makucha ya mkoloni mweusi

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo.

Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja.

Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha kuifanyia nchi yako pendwa ya Zanzibar ni kuipapatua kisha kuwaachia watwana zigo lao.

Huwawezi na hilo zigo huliwezi litakuelemea na kujazwa lawama,hao aliowaweza ni Magufuli,kwako wanacheka na wewe wanazungumza na wewe vizuri tu,lakini behind ya pazia wako kivyengine kabisa.

Ujue hizi shida hazikuwepo wakati wa Kamanda Magufuli,hazikuwepo sio maji wala umeme ,ila sasa zinaota na kukuwa kama moto wa nyasi na zote unaelemezwa nazo wewe,Yanini ?

Kazi moja tu imalize kisha tawanyika kulia,ipapatue Zanzibar kiaina ,muda ndio huu. WaZanzibari tupate nini tena.
Na ole wenu wabara mkifanya masihara mtakuwa mnazika kisha tunaukwaa Urais ndio njia pekee,mchanga kutoka kaburi la Maalim Seif bado tunao.
 
we mkojani !.umeleta mambo ya kujitenga
 
Wacha hizo. Zabzibar ni sehemu ya Jamhuri wa Muubgano wa Tanzania, nchi ya K8afrija, nchi ya Waafrika. Walivamia Wareno, wajatojs.

Wakavamia Waarabu, wakatoja, wakavamia Waingereza, wajatoka, bado ni nchi ya Kiafrika. Baadaye ikaitwa Tanganyika na visiwa vyaje pembeni vikaitwa Zanzibar, lakini bado ni nchi moja hiyohiyo
 
Wanzanzibar msijifanye kulia Lia hapa , sie Watanganyika tuna uchungu Sana , TANGANYIKA ilishakua koloni la Zanzibar katika kivuli Cha Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA, Binafsi natamani hata leo mkae kivyenu Kama hatuwezi kuwa na Muungano wenye usawa,

Watanganyika kiuchumi, kijamii, hatufaidiki na lolote na Zanzibar, ila nyie mnafaidika na TANGANYIKA KWa asilimia 100, achana na changamoto Kwamba hamuwezi kusimama na kukopa Kama Nchi KWa maendeleo ya Nchi yenu,

1. Wanzanzibar kazi TANGANYIKA serikalin mwapata KILA secta, mtanganyiki pata kazi Serikalin shughuli kweli KWa Zanzibar

2. Wanzanzibar TANGANYIKA popote pale ruksa kuishi ,kumiliki ardhi ,Wala hakuna anaewauliza ,Mtanganyika miliki ardhi Zanzibar nakama ngamia pita kwenye Tundu la sindano,

3.Tunasema sisi ni Nchi MOJA na ni watz ,na tunasema viongozi wote wa kuliongoza Taifa watatoka popote ndani ya JMT bila kujali dini ,Rangi au ukabila,

Leo ikitokea Mbara akawa Rais visiwani hizi lawama na maneno yatakua chungu nzima, na hapawezi kalika ,nawafaham nyie jamaa zangu , ,Sasa huu Undugu,au Muungano GANI, kwamba tuwe pamoja kwenye shida kwenye raha hamtaki,

4. Watanganyika KWENDA Zanzibar ni Kama KWENDA Kenya, ila Wanzanzibar kuja TANGANYIKA ni Kama kutoka sebule MOJA KWENDA nyingine, Sasa nani kawa Koloni KWa mwenzake,

Hatutaki na sisi Tunataka TANGANYIKA yetu ,na nyie muwe na Zanzibar yenu tubaki shirikiana kwenye vitu msingi kwenye Serikali ndogo ya Muungano ,

Binafsi kwenye katiba mpya kero yangu no mmoja pamoja nyingine ni huu Muungano , usivyokuwa na usawa Watanganyika tumechoka kuwa koloni la Zanzibar,
 
Shocker uliandika ukiwa wapi, Unguja, Pemba au Dar Es Salaam?.

Ukute uliandika ukiwa kule Mbagala, Chamazi au Kigamboni ulikonunua kiwanja na kujenga na sasa unaishi huku biashara ikiwa kariakoo ahahaaaa...

BiM anaweza kuipa pesa na mambo yote anayoona ya maana Zanzibar kutokea nafasi aliyonayo ya urais, ni kama sasa hivi, ndege 5 zijazo, meli, mgao wa covid nk, hapo anaweza na ndicho kinachoendelea.

Ila Issue ya muungano HAKUNA na hawezi 'katu' hii ni issue nyingine kabisa kwa sasa hakuna anayeweza kubadili au kuipapatua Zanzibar kutoka kwa mkoloni mweusi, ungekuwepo siku ya Maalim Seif pale Golden Tulip umsikie BiM alivyosema au tafuta clip video pale ZBC then urudi kuandika.

Na si BiM tu, but siku ya mwisho ya Maalim Seif aliongea rais mstaafu Karume kutikana na kuulizwa swali kuhusu kuuvunja muungano, majibu yake 'nadhani unatakiwa uyasikilize'.

Muungano kwa mtu kama wewe ni vile unaona hauna manufaa kwako ilihali maisha yako unayaendesha kutokana na utanganyika na bila utanganyika huwezi kitu (UNAWANYONYA) labda uwanyonye wale waliokutawala ambao leo unawahita ndugu na maswahiba zenu kutoka Oman!.
 
Shocker uliandika ukiwa wapi, Unguja, Pemba au Dar Es Salaam?.

Ukute uliandika ukiwa kule Mbagala, Chamazi au Kigamboni ulikonunua kiwanja na kujenga na sasa unaishi huku biashara ikiwa kariakoo ahahaaaa...

BiM anaweza kuipa pesa na mambo yote anayoona ya maana Zanzibar kutokea nafasi aliyonayo ya urais, ni kama sasa hivi, ndege 5 zijazo, meli, mgao wa covid nk, hapo anaweza na ndicho kinachoendelea.

Ila Issue ya muungano HAKUNA na hawezi 'katu' hii ni issue nyingine kabisa kwa sasa hakuna anayeweza kubadili au kuipapatua Zanzibar kutoka kwa mkoloni mweusi, ungekuwepo siku ya Maalim Seif pale Golden Tulip umsikie BiM alivyosema au tafuta clip video pale ZBC then urudi kuandika.

Ni si BiM tu, siku ya mwisho ya Maalim Seif aliongea rais mstaafu Karume kutikana na kuulizwa swali kuhusu kuuvunja muungano, majibu yake 'nadhani unatakiwa uyasikilize'.

Muungano kwa mtu wa wewe unaona hauna manufaa kwako ilihali maisha yako unayaendesha kutokana na utanganyika na bila utanganyika huwezi kitu (UNAWANYONYA) labda uwanyonye wale waliokutawala ambao leo unawahita ndugu na maswahiba zenu kutoka Oman!.
Mkuu wanzanzibar wanakera Sana na kulalamika ILIHALI wao Ndo hutonyonya Watanganyika
 
Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo.

Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja.

Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha kuifanyia nchi yako pendwa ya Zanzibar ni kuipapatua kisha kuwaachia watwana zigo lao.

Huwawezi na hilo zigo huliwezi litakuelemea na kujazwa lawama,hao aliowaweza ni Magufuli,kwako wanacheka na wewe wanazungumza na wewe vizuri tu,lakini behind ya pazia wako kivyengine kabisa.

Ujue hizi shida hazikuwepo wakati wa Kamanda Magufuli,hazikuwepo sio maji wala umeme ,ila sasa zinaota na kukuwa kama moto wa nyasi na zote unaelemezwa nazo wewe,Yanini ?

Kazi moja tu imalize kisha tawanyika kulia,ipapatue Zanzibar kiaina ,muda ndio huu. WaZanzibari tupate nini tena.
Na ole wenu wabara mkifanya masihara mtakuwa mnazika kisha tunaukwaa Urais ndio njia pekee,mchanga kutoka kaburi la Maalim Seif bado tunao.
Nasikia nyie ndio mlimloga Jpm
 
Wanzanzibar msijifanye kulia Lia hapa , sie Watanganyika tuna uchungu Sana , TANGANYIKA ilishakua koloni la Zanzibar katika kivuli Cha Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA, Binafsi natamani hata leo mkae kivyenu Kama hatuwezi kuwa na Muungano wenye usawa,

Watanganyika kiuchumi, kijamii, hatufaidiki na lolote na Zanzibar, ila nyie mnafaidika na TANGANYIKA KWa asilimia 100, achana na changamoto Kwamba hamuwezi kusimama na kukopa Kama Nchi KWa maendeleo ya Nchi yenu,

1. Wanzanzibar kazi TANGANYIKA serikalin mwapata KILA secta, mtanganyiki pata kazi Serikalin shughuli kweli KWa Zanzibar

2. Wanzanzibar TANGANYIKA popote pale ruksa kuishi ,kumiliki ardhi ,Wala hakuna anaewauliza ,Mtanganyika miliki ardhi Zanzibar nakama ngamia pita kwenye Tundu la sindano,

3.Tunasema sisi ni Nchi MOJA na ni watz ,na tunasema viongozi wote wa kuliongoza Taifa watatoka popote ndani ya JMT bila kujali dini ,Rangi au ukabila,

Leo ikitokea Mbara akawa Rais visiwani hizi lawama na maneno yatakua chungu nzima, na hapawezi kalika ,nawafaham nyie jamaa zangu , ,Sasa huu Undugu,au Muungano GANI, kwamba tuwe pamoja kwenye shida kwenye raha hamtaki,

4. Watanganyika KWENDA Zanzibar ni Kama KWENDA Kenya, ila Wanzanzibar kuja TANGANYIKA ni Kama kutoka sebule MOJA KWENDA nyingine, Sasa nani kawa Koloni KWa mwenzake,

Hatutaki na sisi Tunataka TANGANYIKA yetu ,na nyie muwe na Zanzibar yenu tubaki shirikiana kwenye vitu msingi kwenye Serikali ndogo ya Muungano ,

Binafsi kwenye katiba mpya kero yangu no mmoja pamoja nyingine ni huu Muungano , usivyokuwa na usawa Watanganyika tumechoka kuwa koloni la Zanzibar,
No 4 ni uongo. Kuja uhuru usio na kikwazo kuingia na kutoka zanzibar
 
Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo.

Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja.

Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha kuifanyia nchi yako pendwa ya Zanzibar ni kuipapatua kisha kuwaachia watwana zigo lao.

Huwawezi na hilo zigo huliwezi litakuelemea na kujazwa lawama,hao aliowaweza ni Magufuli,kwako wanacheka na wewe wanazungumza na wewe vizuri tu,lakini behind ya pazia wako kivyengine kabisa.

Ujue hizi shida hazikuwepo wakati wa Kamanda Magufuli,hazikuwepo sio maji wala umeme ,ila sasa zinaota na kukuwa kama moto wa nyasi na zote unaelemezwa nazo wewe,Yanini ?

Kazi moja tu imalize kisha tawanyika kulia,ipapatue Zanzibar kiaina ,muda ndio huu. WaZanzibari tupate nini tena.
Na ole wenu wabara mkifanya masihara mtakuwa mnazika kisha tunaukwaa Urais ndio njia pekee,mchanga kutoka kaburi la Maalim Seif bado tunao.
Acha upimbi wewe mchanga wa kaburi la seif unawatisha nyie tu.
Sisi tunataka samia ajue rais tuliyemchagua ni magufuli. Bahati mbaya kafa sasa asijifanye kama kawekwa kwa mapinduzi kwa kusaliti yale aliyopigania magufuli kwa wananchi. Wananchi tunategemea aendeshe nchi kwa mwendo wa kimagufuli sio kuanza kuweka wapinzani na adui za magufuli kwenye uongozi.
 
Mtoa mada japo kimasihara ana ujumbe mzito. Tunahitaji Katiba bora kuweka hatima sawia ya taifa letu.
Haya Mambo ya kubet kwa vitisho na hisani mwenyekiti wa CCM Kuna siku tutabaki uchi.
 
Acha upimbi wewe mchanga wa kaburi la seif unawatisha nyie tu.
Sisi tunataka samia ajue rais tuliyemchagua ni magufuli. Bahati mbaya kafa sasa asijifanye kama kawekwa kwa mapinduzi kwa kusaliti yale aliyopigania magufuli kwa wananchi. Wananchi tunategemea aendeshe nchi kwa mwendo wa kimagufuli sio kuanza kuweka wapinzani na adui za magufuli kwenye uongozi.
Vitimba kwiri kama nyinyi ndio mnaishi na kuganga njaa zenu kwa uwepo wa huu Muungano.Kufuata ya magufuli hilo sahau,waswahili tuna msemo changanuzi...imetoka hio... kwa hivyo ya magufuli ameachiwa Magufuli na hayo Wazenjibar hayatuhusu,ndio hayo yaliomo kwenye zigo.

Na wale msiofahamu nyie wavamizi wa siasa, Hii Nchi haiitwi Jamhuri ya Tanzania inaitwa United Republic of Tanzania ,guguli kwa kiswahili uone tafsiri yake.

Kama wajumbe wa Raisi Samia wanapitia haya maandishi wamfikishie ili ajiridhishe na auone ukweli,amezungukwa na mipapa usingizi. Hakuna cha kutatua kero ni kufanya awezavyo aipapatuwe Zanzibar na kipindi ndio hiki.

Halafu watu hawa wasivyokuwa na kheri,wanashindwa hata kuilipa Zanzibar deni lake la mamilioni ya dola za kimarekani ,wametia pamba za masikio wamesahau kama Benki Kuu kuna sheya ya Zanzibar na Zanzibar haijawahi kupewa hata nduaro aka senti tano ya faida .

Muungano ni mzigo mzito kwa Zanzibar na wakati wa kuutua ndio huu ,unajua kuna maradhi yameshaanza kujitokeza hapaTanzania Bara ,mambo ya ukanda hawa wasukuma, hawa wachaga hawa wamakua mfano ni genge linalovuma sasa hivi la Sukuma Gang ,hii ni cheche ya mot mkubwa hapa Tanzania.

Wabara (Tanganyika) wametuambukiza Umasikini,nani asieijua Zanzibar kabla ya Muungano ? Zanzibar ilitoa misaada kuzisaidia nchi za Scandinavia enzi hizo ,Zanzibar ilikuwa ya au inaongoza kwa maendeleo hapa Afrika ,leo tumeungana hata mwisho wa mkia pia hatupo na yote ni hawa jamaa zetu machawa. Hatupumui kila tunalotaka kulifanya huliharibu au mmesahau OIC ? Kama si choyo na husuda ni kitu gani ?
 
Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo.

Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja.

Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha kuifanyia nchi yako pendwa ya Zanzibar ni kuipapatua kisha kuwaachia watwana zigo lao.

Huwawezi na hilo zigo huliwezi litakuelemea na kujazwa lawama,hao aliowaweza ni Magufuli,kwako wanacheka na wewe wanazungumza na wewe vizuri tu,lakini behind ya pazia wako kivyengine kabisa.

Ujue hizi shida hazikuwepo wakati wa Kamanda Magufuli,hazikuwepo sio maji wala umeme ,ila sasa zinaota na kukuwa kama moto wa nyasi na zote unaelemezwa nazo wewe,Yanini ?

Kazi moja tu imalize kisha tawanyika kulia,ipapatue Zanzibar kiaina ,muda ndio huu. WaZanzibari tupate nini tena.
Na ole wenu wabara mkifanya masihara mtakuwa mnazika kisha tunaukwaa Urais ndio njia pekee,mchanga kutoka kaburi la Maalim Seif bado tunao.
Na mama yenu mjambiani asipo vunja muungano muda huu mjue kabisa kisasi cha wabara juu yenu kitakuwa kikubwa sana tutawageuza watumwa wetu na ardhi yenu tutachukua zanzibar itakuwa mkoa tu maana mama katujambia wabara wote tumechafukwa
 
Back
Top Bottom