Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.
Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.
======================
Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.
Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi