Rais Samia: Masauni umefanya kazi nzuri kwenye Wizara ya Mambo ya Ndani. Una CV nzuri japo umekaa kwa muda mfupi

Wakuu,

Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.

Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.

======================

Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.

Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
Anapenda kuibua hasira za watu
 
Sikutegemea Kama Huyu mama atakuwa msaliti wa Taifa pamoja na mambo yaliyomtokea Jiwe lakini bado tu hajifunzi

Tuendelee kuwepo atapigwa pigo moja takatifu
 
Wakuu,

Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.

Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.

======================

Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.

Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
Dongo au?
 
Kwa vile hamjaua wátanganyika wote basi mnakejeli hao wachache mlioua Kama vile hawatoshi.
Serikali haina sera ya kuteka Wala kuua watu wasio na hatia.
Na hao wanachama wenzenu waliouawa wameuliwa na wahalifu kama ambavyo hata watu wa CCM na wasio na vyama kama mimi.
Majuzi tumesikia kauawa kiongozi wa CCM na watu wasiojulikana huko Iringa na hatujasikia CCM wakilalamika kuwa serikali imemuua kiongozi wao.
Hakuna serikali yoyote hapa duniani iliyowahi kudhibiti uhalifu kwa asilimia 100%.
Kila nchi yoyote iwe ni ya bara la ulaya , Amerika , Asia na kwetu Afrika vitendo vya mauaji, utekaji, ujambazi na ugaidi vipo bila kujali wahanga au waathirika wa vitendo hivyo ni watu wa dini , kabila, itikadi au msimamo gani ya kisiasa.
Baadhi ya mipango ya kudhibiti uhalifu haifai kuwekwa hadharani ndio maana miaka ya 2014 na 2015 palikuwa na uhalifu wa kuteka vituo vya polisi na uporaji wa silaha na magaidi kujichimbia maeneo mbalimbali kama mapango ya amboni na mapori ya kibiti na muda ulipofika serikali ilifuta uhalifu wa aina ile na kubaki historia.
SASA HATA HUU UTEKAJI NA MAUAJI YANAYOFANYWA NA WATU AMBAO BADO HAWAJULIKANI TUVIPE MUDA VYOMBO VYETU VYA USALAMA NA TUVIAMINI KUNA WAKATI VITENDO HIVYO VIOVU VITADHIBITIWA INSHAA ALLAAH.
 
Wakuu,

Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.

Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.

======================

Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.

Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
Mliokuwa mnambishia Mdude kwamba huyu mama ndiye kinara wa Mauaji Sasa mmeamini.
 
Mkuu, Kangi alibebwa na u-polisi wake katika kuiongoza Wizara ya Mambo ya Ndani. Mengine alikuwa akiyajua kipolisi kwakuwa alikuwa mmojawao. Kangi alipiga kazi nzuri sana!
Ndio awekwe mtu wa hivyo, sio kuwaweka watu wasioelewa sekta husika ndio watuongoze. Yaani mtu kama Balozi Kaganda hivi awe ndio Waziri wa Mambo ya Ndani au IGP
 
Wakuu,

Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.

Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.

======================

Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.

Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
Kazi nzuri ya kusimamia vitendo vya utekaji,utesaji na mauaji kwa wanachadema yanayofanywa na polisiccm. Maza anatudharau sana sisi Watanganyika.
 
Back
Top Bottom