Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Anampa sifa za uongo ili kumpoza asihuzunike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa kauli ile tumethibitisha pasi shaka kuwa yote yaliyokuwa yanatokea chini ya wizara aliyokuwepo Masauni ni maagizo yake, ndio maana amesema "kazi nzuri".Huu sasa ndio unafiki wa kiwango cha lami
Anapenda kuibua hasira za watuWakuu,
Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.
Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.
======================
Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.
Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
😂😂😂Mungu wangu.. Yaani nampongeza!?😭😭😭😭
Dongo au?Wakuu,

Serikali haina sera ya kuteka Wala kuua watu wasio na hatia.Kwa vile hamjaua wátanganyika wote basi mnakejeli hao wachache mlioua Kama vile hawatoshi.
Mliokuwa mnambishia Mdude kwamba huyu mama ndiye kinara wa Mauaji Sasa mmeamini.Wakuu,
Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.
Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.
======================
Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.
Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
Ndio matumizi ya Kodi za watu maskiniHivi kina Tulia, waziri mkuu, naibu waziri mkuu, etc wameenda kufanya nini kwenye uapisho!
Ndio awekwe mtu wa hivyo, sio kuwaweka watu wasioelewa sekta husika ndio watuongoze. Yaani mtu kama Balozi Kaganda hivi awe ndio Waziri wa Mambo ya Ndani au IGPMkuu, Kangi alibebwa na u-polisi wake katika kuiongoza Wizara ya Mambo ya Ndani. Mengine alikuwa akiyajua kipolisi kwakuwa alikuwa mmojawao. Kangi alipiga kazi nzuri sana!
Kazi nzuri ya kusimamia vitendo vya utekaji,utesaji na mauaji kwa wanachadema yanayofanywa na polisiccm. Maza anatudharau sana sisi Watanganyika.Wakuu,