Rais Samia: Masauni umefanya kazi nzuri kwenye Wizara ya Mambo ya Ndani. Una CV nzuri japo umekaa kwa muda mfupi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.

Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa.

======================

Ikumbukwe kuwa Masauni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani katika kipindi ambacho kumekuwa na matukio mengi ya utekaji yanayoendelea nchini ikiwemo tukio la Ali Kibao ambalo halijapatiwa majibu hadi sasa.

Kutekwa kwa Sativa, Abdul Nondo, Aisha Machano na wengineo wengi wote ambao matukio yao hayajapatiwa ufumbuzi
Your browser is not able to display this video.
 
Huu sasa ndio unafiki wa kiwango cha lami
 
Saa nyingine adhabu ya Mungu au hasira ya Mungu humfanya mtu asesme asichokusudia,tuendelee kuomba Mungu tuvuke salama
 
Ni sahihi kazi nzuri ya kuteka na kuua watu
 
Ameteka na kuua sana kama alivyotumwa. Sasa kwanini asisifiwe.
Amewekwa mwingine naye mikono ishike damu kidogo.
Kuna mtu humu baada ya Uteuzi wa mawaziri hawo kwamba bashungwa kwenye wizara hiyo na yeye anakwenda kuchafuka
 
Kuna shida hapa si bure.
Na tafsiri yake ni ipi kwamba Muungano ukaimarishwe Zanzibar, kwamba Tanganyika ni Mapoyoyo wasiojielewa hivyowaziri inabidi akashinde zaidi Zanzibar0? Au mimi ndiye sielewi
 
Apewe uwaziri bwana Kangi Lugola, alisema wananchi hatutakiwi kuogopa majambazi, mabasi yasafiri usiku sio kuogopa kuwa majambazi yatateka mabasi. Japo alikuwa ana kakiburi lakini alifaa sana.

Aliagiza dhamana polisi zitolewe mpaka jumapili na trafiki waache kujificha au kupiga picha na kutumiana kwenye simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…