Rais Samia: Masauni umefanya kazi nzuri kwenye Wizara ya Mambo ya Ndani. Una CV nzuri japo umekaa kwa muda mfupi

Kasi ya utekaji na na kupotezwa watu, vifo vyenye utata inaonekana ilikuwa ndogo kuliko ilivyotarajiwa, 🤔🤔🤔 ndo maana katoswa
 
Mnaojiuliza watekaji wanatumwa na nani nadhani jibu la nyongeza mmepata.
Makofi mengi kwa masauni tafadhali.
 
Naona utekaji na mauaji ya wanaomkosoa ilikuwa ni maagizo yake, ndiyo maana anamsifia kwa kutekeleza vizuri aliyomuagiza.
 
Mkuu, Kangi alibebwa na u-polisi wake katika kuiongoza Wizara ya Mambo ya Ndani. Mengine alikuwa akiyajua kipolisi kwakuwa alikuwa mmojawao. Kangi alipiga kazi nzuri sana!
 
Kumbe kuna mengine ya kunong'onezana kwa siri?
 
Yaani in the middle ya haya matukio yote Rais anabadili waziri wa mambo ya ndani na hasemi chochote kuhusu yaliyotokea. Is just dharau ya hali ya juu kwa wabongo
Either hataki kuyaongelea ita tarnish image yake , maswali yatakuwa mengi than majibu
But overall , kunignore haya mambo ninindirect dharau kwa wananchi
 
Hayo uliyayotaja yaliyotokea ndio kazi nzuri zenyewe.
Ova
 
Kama ajenda yako ni kuua watu wengi na imetimizwa robo katika kipindi kifupi kwa mwendo wa kusuasua, hauna budi kusifu.
 
Waswahili huwa hawatukanani.Kwenye mdundiko ni vijembe tu.
 
Kazi nzuri ipi? Ya kuondoa uhai wa watanganyika?
Huyu mama kwa kweli amelaanika!! Mtu amesababisha maisha ya watu kupotea, halafu unamsifia huyo mtu kuwa amefanya kazi nzuri!!
 
UTEKAJI
 
Kwa hiyo mama una maana safari za mazingira zisizo na kazi yeyote ndio akazifurahie? yaani umempa ulaji wa safari nyingi? Kazi kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…