The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwako Mheshimiwa Rais, kuna mambo yanatendeka hapa nchini yanakuhitaji wewe moja kwa moja useme ndiyo au hapana.
Hawa wasaidizi wako tumeshawachoka. Maana stories ni zile zile ooh tunalifanyia kazi na hakuna kinachoendelea.
Swala la tozo na kodi unatakiwa uje front useme tulipe au la. Siyo kubembeleza, sijui tunategemea ushauri wa wananchi. Kuna mwansnchi gani atakupangia kiasi cha kodi.
Picha ninavyo ona hamjiami katika mipango yenu. Raisi yeyote anayejiamini angetoa ufafanuzi strait. Yaani ni nyekunfu au nyeupe, kusuka ama kunyoa.
Acha kukaa nyuma jitokeze mbele tujue mambo haya yana mkono wako swala la Kodi siyo la kitoto inatakiwa lugha ngumu na madhubuti siyo ya kupapasa papasa na kupuliza.
Mambo ni mengi tu umeyakalia kimya ndiyo maana huku kitaa kelele kibao.