Rais Samia, Mbowe aliyeko Mahabusu leo hii, anapigania Katiba ambayo kesho inaweza kuja kuwa msaada kwa wajukuu au vitukuu wako

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
 
Shida ni kwamba watu wengine hamuelewi katiba ni kitu gani. Kama wewe umeandika maelezo marefu lakini unahitaji kuelimishwa kujua katiba nini.

Sheria zinatungwa kutokana na katiba na kuheshimu katiba. Sasa wewe kama ni mwizi na fisadi unataka katiba ya kukulinda na mali zako za wizi milele na vizazi vyako ujue hilo halitawezekana.
 
subiri hadi 2040 ndio utaleta mawazo hayo, kwa sasa tunapambana na uviko 19 janga la dunia.
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Usiwe na haraka wala wasiwasi madamu kapelekwa mahakamani utasikia kitakacho nenwa kwenye ushahidi na mashahidi kibao kuwa mbowe ni Gaidi haswa.
huna haja ya kujipa presha, vuta subira.
 
Sio sifa njema na afya kwa taifa letu. Ugaidi sio jambo dogo, tarajia jumuia za kimataifa kutoa matamko yasiyo na afya kwa taifa.
 
Tatizo waafrica hatufikiri mbali. Wakina karume na nyerere walijifikiria wao tuu wakiwa madarakani saivi watoto na wajukuu wananyoroshwa. Cc fatuma karume
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Hakuna Mchaga anampenda mtu asiye Mchaga tusidanganyane, hiyo Katiba wanaitaka Wanasiasa kwa maslahi yao ya madaraka wala si kipaumbele chetu Watanzania
 
Madaraka yanalevya ccm ni chama Cha ajabu kabisa juzi tu tumetoka kusulubishwa na magufuli na hakuna aliyethubutu kunyanyua mdomo mpaka wakubwa wa ccm magu alijibinafsisha chama na nchi ikawa ya jiwe. Mama yetu Samia katiba mpya sio chokochoko KWA KATIBA HII HAKUNA ALIYESALAMA ISIPOKUWA RAISI TU WA WAKATI HUO msijidanganye na kwamba hamshitakiani mkitoka madarakani Bali kumbukeni RAISI ndiye huwa sheria na Kila kitu kwa katiba hi kwani inamruhusu kufanya chochote akiwa madarakani hata Kama ni kuiuza nchi
 
Umenena vema sana mkuu kwani huo ndio ukweli.Mh.SSS Rais wa JMT na asikie sauti hiyo ya mtu aliaye nyikani.
Tunataka Katiba ya Watanzania wote maana ni Haki yetu.Katiba ndiyo Mkataba wa Wananchi na viongozi wa jinsi tunavyotaka nchi yetu ijengwe vipi hatua kwa hatua.
Katiba ya nchi siyo hisani ya yeyote.
 
Madaraka yanalevya ccm ni chama Cha ajabu kabisa juzi tu tumetoka kusulubishwa na magufuli na hakuna aliyethubutu kunyanyua mdomo mpaka wakubwa wa ccm magu alijibinafsisha chama na nchi ikawa ya jiwe. Mama yetu Samia katiba mpya sio chokochoko KWA KATIBA HII HAKUNA ALIYESALAMA ISIPOKUWA RAISI TU WA WAKATI HUO msijidanganye na kwamba hamshitakiani mkitoka madarakani Bali kumbukeni RAISI ndiye huwa sheria na Kila kitu kwa katiba hi kwani inamruhusu kufanya chochote akiwa madarakani hata Kama ni kuiuza nchi
Rais wa JMT kwa Katiba hii anaweza hata kuifutilia mbali CCM yenyewe,Bunge,Sheria,Mkoa,Wilaya au hata uraia wa Mtanzania yeyote bila kuhojiwa na yeyote.
Hatari ni kubwa mno na hakuna aliye salama kama tulivyoshuhudia majuzi.
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Ajifunze kwa Kinana na Makamba Sr
 
Umetumia busara kubwa mno kufikisha ujumbe, bila kutukana, kumkashifu na kumdhihaki raisi. Mimi sio chadema wala ccm, lakini naungana na wewe kwenye swala la katiba. Mungu asaidie mh raisi aipitishe katiba.
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Mbowe hapiganii Katiba wewe zu.zu acha kudanganya watu! Mbowe anataka apewe platforms ya kuhalalisha matumizi ya fedha za ruzuku na fedha za wafadhili.
Platforms anazotaka ni za kufanya mikutano ya hadhara ( anajua atapata mazombie mengi ya kumsikiliza kama kawaida yake) na pia maandamano ya vurugu za kijinga !
Katiba tu ya CHADEMA ina mapungufu kibao mmeshindwa kurekebisha mnataka Katiba Nchi.
Katiba ya CHADEMA ,Mwenyekiti hana ukomo ni hadi ajisikie kuacha nafasi hiyo! Nasikia Mbowe anajisikia kuiachia hiyo nafasi 2023 na Mazombie yake yanachekelea tu!
Kina Halima Mdee na wenzake wamekata rufaa kuhusu kufukuzwa kwao lakini hata kabla rufaa zao hazihasikilizwa uchaguzi ulishafanyika kujaza nafasi zao! Unajaza nafasi ambazo bado zimekakuwa! UJINGA MTUPU! Halafu eti kuna kiduku mjinga mmoja amekimbilia Ubeligiji kutawaza Wazee eti anajiita Mwanasheria Nguli na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA! UJINGA MTUPU!
Wisdom ni kusafisha nyumba yako kabla hujanyooshea kidole uchafu ulioko nyumba ya jirani!
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Mbowe yupo gerezani siku ya 8 leo, makamanda mpo bize kuendeleza mapambano mtandaoni kwa kutumia fake IDs. Na sasa yamepita masaa 96 tangu Mbowe awe charged, lakini hakuna tamko lolote kutoka kwa viongozi wenu.
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Mbowe hapiganii Katiba wewe zu.zu acha kudanganya watu! Mbowe anataka apewe platforms ya kuhalalisha matumizi ya fedha za ruzuku na fedha za wafadhili.
Platforms anazotaka ni za kukusanya mikutano ya hadhara ( anajua atapata mazombie mengi ya kumsikiliza kama kawaida yake) na pia maandamano ya vurugu za kijinga !
Katiba tu ya CHADEMA ina mapungufu kibao mmeshindwa kurekebisha mnataka Katiba Nchi.
Katiba ya CHADEMA ,Mwenyekiti hana ukomo ni hadi ajisikie kuacha nafasi hiyo! Nasikia Mbowe anajisikia kuiachia hiyo nafasi 2023 na Mazombie yake yanachekelea tu!
Kina Halima Mdee na wenzake wamekata rufaa kuhusu kufukuzwa kwao lakini hata kabla rufaa zao hazijasikilizwa uchaguzi ulishafanyika kujaza nafasi zao! Unajaza nafasi ambazo bado zimekaliwa! UJINGA MTUPU! Halafu eti kuna kiduku mjinga mmoja amekimbilia Ubeligiji kutawaza Wazee eti anajiita Mwanasheria Nguli na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA! UJINGA MTUPU
Wisdom ni kusafisha nyumba yako kabla hujanyooshea kidole uchafu ulioko nyumba ya jirani!
 
Hakuna mtawala aliyeko madarakani akaona umuhimu wa katiba au ubaya wa Sheria mbovu hadi akitoka madarakani
 
Back
Top Bottom