Rais Samia mfute kazi Naibu DPP Kweka, anachafua utawala wako

Hapo hakuna kesi.

Court Dismiss.

Uchawi upo, na

Mungu yupo pia.
 

Tulieni dawa iwaingie vizuri,iacheni Mahakama ifanye kazi yake.
 
Mbona husemei kodi zinavyotumika kuwalipa mishahara na posho wabunge wasiokuwa na chama? Wacheni Mahakama ifanye kazi yake
Kama Kweka alibakwa na Sabaya basi atumie hela zake kukata rufaa na siyo kodi za wananchi
 
Hayo ni mambo ya kiufundi Rais hawezi kuingilia, wacha kihemuhemu kama kuku mtetea anayetaka kupandwa; Nyau we!
 
Hizo zilikuwa ni movie zilizotengenezwa na sabaya kwa kushirikiana na ninyi majambazi wenzake ndio maana hakuna hata mmoja kati ya hao uliowataja amewahi kufikishwa mahakamani
 
Unatumia nguvu kubwa sana kumtetea jambazi ila ni kama unarusha ngumi hewani
 
Sio huyo tuuu, Kuna baadhu ya Wakuu wa Wilaya ni shida. Nguvu nyingi, busara na akili kidogo
 
Rais Samia tengua pia uteuzi wa Dpp Kweka, tangu umteue ana kazi ya kushinda Moshi na Arusha kutengeneza kesi feki za kumshitaki Sabaya.
Pia meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi!

Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya upigaji na kuwaelekeza wafanyabiashara wote kulipa mapato halali TRA na kupata risit halali matokeo yake mapato yakapanda maradufu kitendo ambacho kiliwakera wakubwa ikiwemo wafanyabiashara wakubwa na kuamua kumzushia zengwe na hatimaye amesimamishwa kazi na mapato ya forodha mkoani humo yameshuka tena na kuwa vilevile millioni 15 kwa mwezi!.
Ni kama tu Sabaya alivyoikuta wilaya ya Hai ikiwa ya 144 kwenye mapato na kuipandisha mpaka ikawa ya nne kitaifa lakini akaishia kuzushiwa zengwe na kupelekwa mahakamani. Jambo hilo la wazalendo kutafutwa kwa tochi na kuzushiwa mazengwe limemkera mbunge Tabasamu na kukataa kuomba radhi kwenye mwongozo wa waziri Simbachawene.
 
Acheni kuchafua watu. Hivi DPP ni wa kulaumiwa juu ya kesi ya Sabaya?
 
Mnahangaika sana na huyu DPP ili kumlinda yule jambazi wenu, yote yanayompata yule alijitakia, hakuna bahati mbaya pale acheni upofu wenu.
 
Hii sio ile Awamu ya Kishetani ya kufukuza Watumishi eti kwa kisingizio kwamba Watu wa Kaskazini wanaiwezesha CHADEMA.
 
Ni kama tu Sabaya alivyoikuta wilaya ya Hai ikiwa ya 144
Hebu fafanua Wilaya ya Hai inawezaje kuwa na Mapato hadi iwe ya 4 kitaifa? Kwamba imeizidi Ilala, Temeke, Kinodnoni na Mafinga au Kahama?

Kuna shughuli gani ya uchumi huko Hai hadi iwe ya 4 kitaifa kwa mapato? Wek hapa link inayoonesha hizo takwimu
 
Akili zako zipo mkunduni,leta Ushahidi wa Sabaya kuikuta Hai ya 144 kimapato kisha yeye akaipandisha mpaka ya 4 kimapato,kwa biashara gani iliyopo Hai??hivi Hai unakufahamu umefika physically au unaandika UHARO tu JF??mijitu mingine kama wewe mnafaa muwe ndani Karanga na hilo Jambazi lenzenu,na naona linazidi kuwa dogo tu ***** Jela si mchezo,ule ubabe wote na Bata zote hazipo sasa hivi
 
Tumia basi hata hizo akili zako kisoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…