bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Shamba la bibi halina mlinzi!Wawindaji Maarufu Duniani waitwai Trophy Hunters ambao wamewahi pia kushitakiwa Kwa uwindaji Haramu wameripotiwa kuua mamba mkubwa zaidi Duniani ambae alikuwa Anapatikana Tanzania pekee.
Video iliyokwenda viral ikionesha Jamaa hao Mke na Mume wakijisifia na kujigamba kumuua mamba huyo imezuia sintofahamu Kwa jamii.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori imedai itatoa taarifa rasmi kuhusiana na jambo Hilo.
View: https://www.instagram.com/p/C1W5hB8okw_/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Swali.
Je uwindaji wa kiholela unaruhusiwa hata Kwa nyara ambazo Zina umuhimu wa kipekee? Mamlaka mnatupiana mpira kwamba mnawaogopa hao Wazungu au mumevuta mlungula?
View attachment 2854759View attachment 2854760
Sasa kaama goli liko wazi ni vipi mtu huyo kakamatwa!? Ukiwa mkosoaji kosoa kwa usawa,hoja yako ingekuwa na nguvu ikiwa mtu huyo wa kilo 3K asingekamatwa
Chama Kinachojinasibu Kina Ilani Na Lazima Itekelezwe Kiko Wapi Sasa. CCM Aibu YaoNgoja waue mkuu, nchi haina mwenyewe!
😃🤣😁hayo ni matunda ya Royal Tour
Nchi Ya MbumbumbuSi wamekuja nchi ya maZuzu
Ova
Nani kasema kakamatwa!!Sasa kaama goli liko wazi ni vipi mtu huyo kakamatwa!? Ukiwa mkosoaji kosoa kwa usawa,hoja yako ingekuwa na nguvu ikiwa mtu huyo wa kilo 3K asingekamatwa
Hivi mkuu wewe ndo uliyekuwa KIBUDENGA MTOMBANGILE?Kenya ya babako
Damu ya mamba haipotei bure, lazima itawarudia hao wauaji.Mzungu huyu ameonekana akiwa na maafisa wa wanyama pori akifurahia kumuua mamba mkubwa mwenye urefu zaidi ya mita 4 ndani ya hifadhi moja wapo ya Taifa.
Huu ni uhujumu wa makusudi ambae umefadhiliwa na vyombo vya dola (maafisa wa hifadhi kwani kazi ya kumuwinda mamba mkubwa kama huyo na hatimae kumuua na kuanza kumburuta na kumfunga abebwe sio jambo la siri na clips zimeenea mitandaoni na dunia nzima.
Mzungu husika akamatwe kama ndugu zetu na jamaa wanavuokamatwa hata kwa kukutwa na vipande vya nyama tu ya kitoweo cha familia.
Waziri husika nae aachie ngazi, ikiwa watu wanafikia hadi kufanya ujangiri wa kuhujumu uchumi huku wanalindwa na vyombo vya dola na wakijitajgaza wazi wazi, je vungapi hatuoni ambavyo ni zaidi ya hivi?
===
Raia mmoja wa Kizungu anayejiita Bowmarbow hunting ameonekana mitandaoni akitrend kwa kujisifu kuua Mamba mkubwa zaidi kutoka Tanzania.
Kupitia Instagram yake ameandika kuwa ameingia kwenye rekodi ya kuua Mamba mkubwa zaidi.
Ameandika haya;
“PENDING NEW WORLD RECORD CROC with a bow. This monstrous crocodile measured in at an astounding 16’ 3”! Making him the largest croc in history to ever be harvest with a bow and arrow. The best part is, he’s a 100% wild & 100% free ranging croc in the wilds of Tanzania, which is not how most of the WRs are shot in Africa.
This hunt was beyond incredible to say the least, I can’t wait to share it with you all! The footage we captured was some of our best and this is by far the biggest animal ever shot with a beast_broadheads at 25 yards with an 84lb bow and only a 530 gr arrow it buried through his armor and went all the way up to the fletching.
Just a crazy testament to the lethality of the head.
PSA: As for the Broadheads, next week we’ll be opening them back up for you everyone again A thank you all for your patience with being sold out”
Je, ni sahihi kwa Wanyama kama hawa kuuawa kiholela kwa ajili ya kuweka Rekodi?
Bongo 5
Ni kawaida watu wa kifanya uhalifu mjini kwenda kuificha viijini.Kumbe nchini kwao wana ban, lakini huko kwetu wala hatukujali juu ya hilo?
Tanzania iko ndani ya kenya,si ndioKenya hiyo
Wawindaji Maarufu Duniani waitwai Trophy Hunters ambao wamewahi pia kushitakiwa Kwa uwindaji Haramu wameripotiwa kuua mamba mkubwa zaidi Duniani ambae alikuwa Anapatikana Tanzania pekee.
Video iliyokwenda viral ikionesha Jamaa hao Mke na Mume wakijisifia na kujigamba kumuua mamba huyo imezuia sintofahamu Kwa jamii.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori imedai itatoa taarifa rasmi kuhusiana na jambo Hilo.
View: https://www.instagram.com/p/C1W5hB8okw_/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Swali.
Je uwindaji wa kiholela unaruhusiwa hata Kwa nyara ambazo Zina umuhimu wa kipekee? Mamlaka mnatupiana mpira kwamba mnawaogopa hao Wazungu au mumevuta mlungula?
View attachment 2854759View attachment 2854760
Mkuu acha kukurupuka,soma post ya niliyekuwa namjibia,muwe mnakula ndo mnakuja mitandaoniNani kasema kakamatwa!!
Mtoa taarifa si kakataa kusema aliyemkamata Jina lake nani. Sasa wewe una hakika gani kama Kuna mtu kweli kakamatwa??