Rais Samia mgeni rasmi hitimisho la matembezi ya UVCCM kitaifa Paje, Zanzibar kusheherekea kumbukumbu za miaka 59 ya Mapinduzi

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
Wazalendo amani iwe kwenu,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI UNGUJA

IMG-20230109-WA0152.jpg

#CCMImetimia
#KaziIendelee
 
Kila lenye heri Rais wetu, Kazi zako zinagusa wengi,Tembea salama kipenzi chetu.

Vijana wa CHADEMA wanaraha sana na wewe na wameahidi 2025 lazima wakuunge mkono,
Rais Samia anapendwa zaidi na Upinzani huenda hata zaidi ya WANACCM,
SAMIA KAMA SIO KATIBA ANGEENDA MPAKA 2035.
 
Kila lenye heri Rais wetu, Kazi zako zinagusa wengi,Tembea salama kipenzi chetu.

Vijana wa CHADEMA wanaraha sana na wewe na wameahidi 2025 lazima wakuunge mkono,
CHADEMA wajenge kwanza Ofisi ndio tuanze kuwaamini
 
Hao Vijana wanaenda fukiziwa
, wakitoka huko hata mbu utakuwa uwahisi, watakavyo washa na kurukaruka. Yaani kushinda hata wale wa Jamatini.
 
Wazalendo amani iwe kwenu,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI UNGUJA

View attachment 2475618

#CCMImetimia
#KaziIendelee
CCM ndio CHAMA pekee chenye sura ya Kitaifa
 
Back
Top Bottom