Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Rais Samia anapendwa zaidi na Upinzani huenda hata zaidi ya WANACCM,Kila lenye heri Rais wetu, Kazi zako zinagusa wengi,Tembea salama kipenzi chetu.
Vijana wa CHADEMA wanaraha sana na wewe na wameahidi 2025 lazima wakuunge mkono,
katiba sio biblia ibadilishwe tuRais Samia anapendwa zaidi na Upinzani huenda hata zaidi ya WANACCM,
SAMIA KAMA SIO KATIBA ANGEENDA MPAKA 2035.
CHADEMA wajenge kwanza Ofisi ndio tuanze kuwaaminiKila lenye heri Rais wetu, Kazi zako zinagusa wengi,Tembea salama kipenzi chetu.
Vijana wa CHADEMA wanaraha sana na wewe na wameahidi 2025 lazima wakuunge mkono,
NitakuwepoKila lenye heri Rais wetu, Kazi zako zinagusa wengi,Tembea salama kipenzi chetu.
Vijana wa CHADEMA wanaraha sana na wewe na wameahidi 2025 lazima wakuunge mkono,
Usidharau imani za WengineHao Vijana wanaenda fukiziwa
, wakitoka huko hata mbu utakuwa uwahisi, watakavyo washa na kurukaruka. Yaani kushinda hata wale wa Jamatini.
Usidharau imani za Wengine
CCM ndio CHAMA pekee chenye sura ya KitaifaWazalendo amani iwe kwenu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI UNGUJA
View attachment 2475618
#CCMImetimia
#KaziIendelee
Wazalendo amani iwe kwenu,