Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 70 ya taasisi za Kiraia

Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 70 ya taasisi za Kiraia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili, Usimamizi na Udhibiti wa Jumuiya za Kiraia yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 27-29 Mwaka 2026 jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi ambapo amesema Kauli Mbiu ya Maadhimisho hayo ni “Jumuiya za Kiraia ni Msingi wa Umoja, Mshikamano na Maendeleo ya Taifa”.

 
Back
Top Bottom