Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive.

2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi.

3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha.

4. Mama Samia, Rais wetu, unakosea sana unapotetea wizi, ubadhilifu na kuleta sababu ambazo si za kweli katika hali mbaya ya mifuko.
 
Hii nchi mtu akipata nafasi anapiga pakubwa mno.

Ila hili la kikokotoo liangaliwe upya.
 
Back
Top Bottom