umeongea kwa ukweli na kwa uchungu sanaAogope Mungu baasi mazaaa
Posho yake kiasi Gani!?
Mshahara wake wake si wengine tunaend kukopa bank
Daahh!!!!subhaana lllah
Ila "Kila neema aliyopewa mwanadamu ataulizwa "
Kuna kaburi haya masiku ni machache sana
Mkuu hutakuja kuona kiongoz yyt hata mbunge akiogopa mungu au kaburi, never.Aogope Mungu baasi mazaaa
Posho yake kiasi Gani!?
Mshahara wake wake si wengine tunaend kukopa bank
Daahh!!!!subhaana lllah
Ila "Kila neema aliyopewa mwanadamu ataulizwa "
Kuna kaburi haya masiku ni machache sana
Acha kabisaa inasikitisha sanaMkuu hutakuja kuona kiongoz yyt hata mbunge akiogopa mungu au kaburi, never.
Kwa kiasi kikubwa Sana Kuna ongezeko la ujenzi wa majumba makubwa sehem mbalimbali za nchi. Jambo zuri ..lakin wanaohusika kula maisha hayo ni viongoz , ndugu zao na matajiri TU.
Hata ajira sehem nyeti ni ndgu na mabila Yao pekee. Sisi pangu pakavu tutaonana baadae.
Sisi ni wale kundi la kati kuelekea chini. Mbaya zaidi ni kundi lenye elimu ya kutoshaa ngazi ya shahada nk. Kundi hili linatakiwa likae kimya. Hawa ni madaktar, walimu, wanasheria, maafisa kilimo na kadhalika
DahView attachment 2606052
Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye.
Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa Wafanyakazi wenye Mishahara mikubwa ambao hawakufaidika na nyongeza ya 23%.
Aidha, ameongeza kuwa baadhi ya Taasisi hazikuweza kulipa Nyongeza na Posho hizo kutokana na kuwa Bajeti zao zilikuwa zimeshapitishwa, hivyo malipo hayo yatafanyika mwaka huu (2023).
Amesema mpewe semina ya kutumia vishkwambi, inaonesha walimu hamna smartphoneAogope Mungu baasi mazaaa
Posho yake kiasi Gani!?
Mshahara wake wake si wengine tunaend kukopa bank
Daahh!!!!subhaana lllah
Ila "Kila neema aliyopewa mwanadamu ataulizwa "
Kuna kaburi haya masiku ni machache sana
Mungu amewanyang'anyq ndimi zao. Wanaongea kwa kujimaliza wenyewe. Wanajifitinisha kupitia kauli zao. Nilisema hapa.View attachment 2606052
Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye.
Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa Wafanyakazi wenye Mishahara mikubwa ambao hawakufaidika na nyongeza ya 23%.
Aidha, ameongeza kuwa baadhi ya Taasisi hazikuweza kulipa Nyongeza na Posho hizo kutokana na kuwa Bajeti zao zilikuwa zimeshapitishwa, hivyo malipo hayo yatafanyika mwaka huu (2023).
View attachment 2606052

Amesema mpewe semina ya kutumia vishkwambi, inaonesha walimu hamna smartphone