Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Watanzania tuna Mambo mengi tena Muhimu tu ya Kufanya na siyo huu Upopoma ( Upuuzi ) wako uliouleta hapa.
Sijaona tatizo kwa Rais kutamka hivyo.
Mkuu Tanzania Bara ndo taifa gani hilo??Binafsi ni Mtanzania bara...🤣
Tanganyika tulishaizika ili tuwe na taifa bora zaidi liitwalo Tanzania....
Tanganyika imekwenda ....hairudi ngo'oo ng'ooo ng'ooo........
SIEMPRE SERIKALI MBILI ZA JMT
Kama watumia simu janja wako zaidi ya 30M, unawezaje kusema watumia mitandao ni 10% tu ya watanzania...?
Na hebu tuashumu kweli ni 10%. Je, unajua nguvu (influence) ya watumia mitandao...?
Ukitaka kujua kuwa social media ina nguvu, fanya kituko hapo ulipo kwa kutembea uchi. Nakuhakikishia in just a minute, dunia zima [siyo Tanzania tu] itakuwa imeshajua...!!
Don't underestimate the power of social media hata kama ni 10% [japo takwimu yako hii ni uongo] ya population ya 60M ndiyo watumia simu na computer zenye access to internet...!!
Kama hivyo ndivyo basi Nyerere aliyezaliwa 1922 enzi za ukoloni asingejiita Mtanzania na kudumu katika hilo hadi kifo chake!!! Mtu aongee ni Mzanzibari akiwa ndani ya eneo la Zanzibar pekee sio nje ya hapo. La sivyo watu wa jamii zingine wanapotoka kwenda mataifa mengine wasijitambulishe wao wanatokea Tanzania bali kwa mfano Mbena wa Njombe, Mruri wa Mara, Mmanyema wa Kigoma, Mkaguru wa Gairo nk
Inawezekana hata huko UNGA utambulisho ulikuwa ............
Yes yeye ni mzanzibar. Tumuache Mama afanye kazi. Tutamuhukumu kama akifanya yasiyo haki. Unzanzibar wake sio dhambi na wala sio tatizo. Watanzania tunataka usawa na maendeleo. Sio blah blah zisizo kwisha na kuendekeza wizi wa mali ya umma
Mawazo yako yanachakata mambo kwa kutumia masafa mafupi sana ndugu yangu...Unasema wa2mia simu janja wako zaidi ya 30M, na comments zinazokomentiwa hazifiki elufu kumi,, na kati ya izo 10000 ni baadhi tu wacompenda na kumkejeli, kumkashifu na kumtukana uyu mama.
Una matatizo ya akili, Njombe na Gairo hazitambuliki? Anyway Zanzibar sio nchi basiNjombe, Mara, Gairo hakujawahi kutambulika kimataifa. Zanzibar imetambulika kimataifa na mpaka uhuru ilipewa. Kwa hiyo ni vitu havilingani. Lakini lazima tujiulize kwa nini Mzanzibari akijiita Mzanzibari anaonekana msaliti lakini mtu wa Scotland akijiita Scottish au mtu wa Texas akijiita Texan au mtu wa Chechnya akijiita Chechen hawaonekani kama wasaliti wa Uingereza na Marekani na Urusi?
Iliwahi kutambuliwa lini kama sovereign state? Ndiyo nachokiongelea hicho siyo kutambulika kama sehemu. Zanzibar ilishatambuliwa kama sovereign state.Una matatizo ya akili, Njombe na Gairo hazitambuliki? Anyway Zanzibar sio nchi basi
je WATANGANYIKA mpo mmeyasikia hayo mtajua hamjui vuka ngambo nawe ujitangaze ukirudi uniambieNaona mama ana jaribu kuwajibu sana watu wa mitandao, mi nadhani ange wapotezea hawafiki hata 10% ya watanzania
Mnajidharilisha sana kwa tabia hiyo ya kupingapinga hata mambo yasiyo na maana!Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Katiba yetu ina sema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Watanzania tuna Mambo mengi tena Muhimu tu ya Kufanya na siyo huu Upopoma ( Upuuzi ) wako uliouleta hapa.
Sijaona tatizo kwa Rais kutamka hivyo.
Tusimung'unye maneno.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Yupo sahihi kabisa kujiita Mzanzibari, sababu ni nchi inayojitegemea. Kujiita Mtanzania ni sawa na kujiita Mtanganyika. Kwa kuwa serikali ya Tangayika haipo, hivyo serikali ya Tanzania inasimama badala ya Tanganyika, ni sawa angejiita Mtanganyika, ambaye kwa Mzanzibari sio sahihi.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Wewe ni namna gani? Amesema yeye ni mzanzibari, unajua kuwa hakuna kabila mzanzibari? Wazanzibari wote wana makabila mbali mbali, sasa kosa lipo wapi kwa alichosema?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Unaposema kuna wakojani kule Zanzibar, si unaongelea kabila la wakojani kutoka ukojani?.🤔Hana kabila, lakini ni mdini mzuri.
Na kusema ukweli, wala hakuwa na maana ya kujitambulisha kwamba yeye ni mtu wa tofauti na watanzania. Alitumia mfano tu na akaeleza why is not good kuanza ukabila usiokuwa na mashiko.Katiba yetu ina sema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Serikali zetu ni Serikali ya Maopinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Muungano.
Sasa hakuna shida kusema mia natoka Zanzibar.
Na kaingia kuwa makamo wa Raisi kwa sababu ya Uzanzibari.
Ni afadhali we mdini kuliko kuwa mlughalugha...Mtu yeyote mdini anamwogopa Mungu, hiyo ni njema sana against aliye mlugha lugha yeye hata kama lugha yake haina msingi anataka tu ndiyo ipewe nafasi...Hana kabila, lakini ni mdini mzuri.
Tena hadi kukiongea alikiongea hadharani, ila wakati huo hatukuwa na shida wapendwa wake....I love JPM mpaka nakuaga biased lakini kwa hilo la ukabili japo yeye hakuwa ki hivyo watu hao hao dhaifu walimtumia kwa faida binafsi badala ya maslahi mapana ya taifa letu na watu wa aina hiyo hiyo bado wanaendelea kutugawanya mpaka sasa.Mara ngapi mwenda zake alijisema yeye ni msukuma?. Huyu mama kasema utaifa wake hakusema kabila lake. Hivo tanzania ni nchi mbili. Tanganyika na Zanzibar. Wazanzibari watabaki kuwa wazanzibari. Na Nyinyi tafuteni nchi yenu inaitwaje. Kila mtu ana kabila lake.