Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wewe jamaa una nongwa sana.....Huyu bibi ni mbaguzi balaa
Kwako hakujawahi kutokea kiongozi wa CCM akawa mwema....
Endelea kuufukuza upepo...labda iko siku CDM mtaipata dola kwa staili hiyo ya kupinga ,kuzusha na chuki.... 🤣🤣