Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😍Mbona Mheshimiwa Rais kaongea vizuri ila wewe ndiye unalazimisha NONGWA!???.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍Mbona Mheshimiwa Rais kaongea vizuri ila wewe ndiye unalazimisha NONGWA!???.
Udini wake ni upi?!!Hana kabila, lakini ni mdini mzuri.
😍Kwani wale waliopendekeza uwepo mfumo wa vyama vingi walikuwa wangapi ukilingganisha na wale waliokataa?
Hebu ionee aibu nafsi yako....Zanzibar imekufa wapi?!!Khaaa 😳😳Angejitambulisha kwamba yeye ni Mkojani au Mnungwi isingekuwa na tatizo lolote. Ni sawa na ilivyokuwa haina tatizo kwa JPM alivyokuwa akijitambulisha kwamba alikuwa Msukuma. Pamoja na kwamba tulikuwa tunafahamu kwamba JPM alikuwa Mtanganyika, lakini ingeleta kero sana kama kwa siku yoyote angejitambulisha kwamba alikuwa Mtanganyika. Hata Samia kwa kujitambulisha kwamba yeye ni Mzanzibar kakosea na nadhani haina afya kwa taifa. Kujitambulisha kwa kutumia utaifa wetu wa zamani ambao kimsingi ulishakufa siyo vyema sana.
Alipaswa?!!! Khaaa 😳😳Alipaswa aseme yeye ni Mtanzania...simple, very simple...
😳🤣🤣Anaongopa mchana kweupeee....Acha uongo wewe.
Hakuna msukuma ana time na hayo mambo zenu wala raisi Samia hana ugomvi na wasukuma,wewe ndie unautengeneza huo ugomvi.
Yaani jamaa ni bure kabisa....🤣Naona mumeamua ku PICK bahadhi ya sentence sio all context
Watanzania wasas kweli vituko!
Ni mkweli sana anatamka kilichoko,kilichoko,kilichoko moyoni mwake.Sasa kama ni Mzanzibar si akatawale huko kwao Zanzibar?!
Samia ni Mtanzania na ndicho alipaswa atamke.
Kama Zanzibar haijakufa, kumbe basi ni kipi ambacho kila kukicha wanakilalamikia na kudai kwamba wanataka nchi yao yenye mamlaka kamili? Braza walichobakiziwa na Nyerere ni kopo tupu hawana lolote na hawana identity yoyote nje ya Tz. Kujitambulisha kwa kujiita Mzanzibar au Mtanganyika na hasa kwa mtu wa levo ya Rais siyo sawa kwa sababu hii inasisimua utaifa ambao tuliuua na kujibatiza wote kwa Utanzania.Hebu ionee aibu nafsi yako....Zanzibar imekufa wapi?!!Khaaa 😳😳
Hivi ni utoto ama nini ?!!!
Baba wa taifa hayati Nyerere aliizika Tanganyika na kuibakisha Zanzibar huku akitoa sababu zenye mashiko tu....mashiko tu....
Hivi sisi baadhi ya vijana hatuzisikilizi hotuba adhimu za hayati baba wa taifa ?!!!
Yapo makabila mawali ,watanganyika na wanzanzibari.Zanzibar hakuna makabila eti?
Kwanini hakusema ni mtanzania?Lakin ukweli utabaki kuwa ukwel tu yeye ni Mzanzibar hlo tunajua na halpngik na litabk kuwa hvyo. japo kama Rais hakutakiwa kusema hvyo[emoji120]
Mhimu muungano uvunjwe harakaKama Zanzibar haijakufa, kumbe basi ni kipi ambacho kila kukicha wanakilalamikia na kudai kwamba wanataka nchi yao yenye mamlaka kamili? Braza walichobakiziwa na Nyerere ni kopo tupu hawana lolote na hawana identity yoyote nje ya Tz. Kujitambulisha kwa kujiita Mzanzibar au Mtanganyika na hasa kwa mtu wa levo ya Rais siyo sawa kwa sababu hii inasisimua utaifa ambao tuliuua na kujibatiza wote kwa Utanzania.
Hahaha, hilo linajulikana, Ila sukuma gang wengi walibebwa bebwa, sasa Mama afanyaje? Na ameshasema yeye anaangalia weledi wa mtu!! Sukuma gang pekee naweza sema JPM katuachia kama legacy yake ya kuteua ni Mabeyo, jamaa ni the best of the best
NdiyoAlipaswa?!!! Khaaa 😳😳
Hivi unajionaje kwani ?!! 🤣🤣
Unampangia mwingine cha kuzungumza?!!!
Tena Rais wa nchi?!!!
Hivi tulikuwa tunampangia JK?!!
Mkapa?!!! JPM ?!!!
Yeye labda hafahamu😂. Kwa watanzania bara wanajua kuna wazanzibari na kuna wapemba. Kwao hizo ni kabila. Halafu kuna waswahili, kwao pia ni jamii ya pwani. Wanaona ni kama kabila tu. Makundi hayo ya mama samia awe macho ataitwa nepotist.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.