Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Hana kabila, lakini ni mdini mzuri.
Udini wake ni upi?!!

Isije ikawa wewe ndiye mdini?!!!

Hebu ionee aibu nafsi yako..ionee aibu japo kidogo hapo ulipo....wewe si mdini?!!

Wewe si mdini wa siri na dhahiri?!!

Haya hebu nafsi yako inijibu basi.....
 
Hayati Rais Magufuli alikuwa anaongea mpaka KISUKUMA na kuifurahia lugha yake haswa akiwa ziarani Kanda ya ziwa.....na akikiita kwa utani KIINGEREZA kuwa ni kisukuma kwa sababu hiyo naye alikuwa anakosea?!!!

Hebu tuacheni tabia za kitoto na tusimamie FOCUS ya nchi........

#TaifaKwanza
#SiempreJMT
 
2960219_IMG-20211010-WA0032.jpg
 
Angejitambulisha kwamba yeye ni Mkojani au Mnungwi isingekuwa na tatizo lolote. Ni sawa na ilivyokuwa haina tatizo kwa JPM alivyokuwa akijitambulisha kwamba alikuwa Msukuma. Pamoja na kwamba tulikuwa tunafahamu kwamba JPM alikuwa Mtanganyika, lakini ingeleta kero sana kama kwa siku yoyote angejitambulisha kwamba alikuwa Mtanganyika. Hata Samia kwa kujitambulisha kwamba yeye ni Mzanzibar kakosea na nadhani haina afya kwa taifa. Kujitambulisha kwa kutumia utaifa wetu wa zamani ambao kimsingi ulishakufa siyo vyema sana.
Hebu ionee aibu nafsi yako....Zanzibar imekufa wapi?!!Khaaa 😳😳

Hivi ni utoto ama nini ?!!!

Baba wa taifa hayati Nyerere aliizika Tanganyika na kuibakisha Zanzibar huku akitoa sababu zenye mashiko tu....mashiko tu....

Hivi sisi baadhi ya vijana hatuzisikilizi hotuba adhimu za hayati baba wa taifa ?!!!
 
Alipaswa aseme yeye ni Mtanzania...simple, very simple...
Alipaswa?!!! Khaaa 😳😳

Hivi unajionaje kwani ?!! 🤣🤣

Unampangia mwingine cha kuzungumza?!!!

Tena Rais wa nchi?!!!

Hivi tulikuwa tunampangia JK?!!
Mkapa?!!! JPM ?!!!
 
Hebu ionee aibu nafsi yako....Zanzibar imekufa wapi?!!Khaaa 😳😳

Hivi ni utoto ama nini ?!!!

Baba wa taifa hayati Nyerere aliizika Tanganyika na kuibakisha Zanzibar huku akitoa sababu zenye mashiko tu....mashiko tu....

Hivi sisi baadhi ya vijana hatuzisikilizi hotuba adhimu za hayati baba wa taifa ?!!!
Kama Zanzibar haijakufa, kumbe basi ni kipi ambacho kila kukicha wanakilalamikia na kudai kwamba wanataka nchi yao yenye mamlaka kamili? Braza walichobakiziwa na Nyerere ni kopo tupu hawana lolote na hawana identity yoyote nje ya Tz. Kujitambulisha kwa kujiita Mzanzibar au Mtanganyika na hasa kwa mtu wa levo ya Rais siyo sawa kwa sababu hii inasisimua utaifa ambao tuliuua na kujibatiza wote kwa Utanzania.
 
Kama Zanzibar haijakufa, kumbe basi ni kipi ambacho kila kukicha wanakilalamikia na kudai kwamba wanataka nchi yao yenye mamlaka kamili? Braza walichobakiziwa na Nyerere ni kopo tupu hawana lolote na hawana identity yoyote nje ya Tz. Kujitambulisha kwa kujiita Mzanzibar au Mtanganyika na hasa kwa mtu wa levo ya Rais siyo sawa kwa sababu hii inasisimua utaifa ambao tuliuua na kujibatiza wote kwa Utanzania.
Mhimu muungano uvunjwe haraka
 
Siyo kweli SSH haipendi Tanganyika, SSH anaipenda Zanzibar zaidi. Natural instinct east west home is best.
 
Ndungu wa muungano lini mtaelewa kujitambulisha mtanganyika ni fahari, siyo jinai?
 
Hahaha, hilo linajulikana, Ila sukuma gang wengi walibebwa bebwa, sasa Mama afanyaje? Na ameshasema yeye anaangalia weledi wa mtu!! Sukuma gang pekee naweza sema JPM katuachia kama legacy yake ya kuteua ni Mabeyo, jamaa ni the best of the best
Alipaswa?!!! Khaaa 😳😳

Hivi unajionaje kwani ?!! 🤣🤣

Unampangia mwingine cha kuzungumza?!!!

Tena Rais wa nchi?!!!

Hivi tulikuwa tunampangia JK?!!
Mkapa?!!! JPM ?!!!
Ndiyo
 
Mwaacheni Mama Samia. Katukana?

Mwendakuzimu akiwa msibani Dar alikosoa wasifu wa marehemu na kudai marehemu alikuwa na wake wengi ila wasifu unamtaja mmoja tu.

Mama Samia anaongea kistarabu kuliko yule
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!

====


Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...

Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.

Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Yeye labda hafahamu😂. Kwa watanzania bara wanajua kuna wazanzibari na kuna wapemba. Kwao hizo ni kabila. Halafu kuna waswahili, kwao pia ni jamii ya pwani. Wanaona ni kama kabila tu. Makundi hayo ya mama samia awe macho ataitwa nepotist.
 
Mimi Sina kabila, ila mimi ni mzanzibari. 😂😂😂😁😀😂
 
Back
Top Bottom