Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

We hanithi tafuta mabwana wakushugulikie
Niko busy kwa sasa, siwezi kuongea na mashoga km wewe. Kwanza nitaweza wapi wakati kuchamba ndiyo vitu mnafundishana kila dakika kwenye hizo saluni zenu za machoko!

Uache kuzushazusha usiyoyajua kwa sababu za chuki, we labda jikite kupigania haki ya mashoga kutambulika kisheria ili muolewe 'live'. Mkundugu wake nay we!!
 
Siasa muchezo muchafu sana 😁😁😁😁 Rais na wa2 wake wamepiga ucngizi fuleeshi,,ninyi bado mnazulula tu jamiiforum ucku wa manane 😁😁😁😁😁
 
Mimi pia ni muarusha na rafiki yangu ni mtanga na nina shemeji yangu mzanzibari !! Kwani shida ipo wapi ??!!
 
Na hiyo Ina maanisha kuna Mtanzania aliyezaliwa sehemu inaitwa Tanzania Visiwani/Zanzibar. Mwingine ni mtanzania waliyezaliwa Tanzania Bara/ Tanganyika
 
Hata Nyerere alijibainisha wazi wazi kuwa yeye ni MZANAKI. Tabu iko wapi?
 
Raisa Samia kujjita ni Mzanzibari sio kosa kabisa; hiyo ni utambulisho wake halisi akiwa ndani ya nchi. Atakosea kama yuko nje ya nchi akijitambuslisha yeye ni Mzanzibari. Kuitwa Msukuma, au mtu wa Dodoma au kuitwa mimi ni wa Lushoto au ko kote kule ukiwa ndani ya Tanzania ni sahihi. Utakuwa ujinga mkubwa ukajiita Mtanzania ukiwa ndani iya Tanzania labda unajitambulishwa kwa mgeni au kwa yule asifahamu asili yako au ofisi ya uhamiaji. Kila mmoja amezaliwa au kukulia eneo fulani. Hata Marekani au Uingereza akiwa ndani ya nchi ile anataja anakoytoka kiasili. Tuache maneno yasiyo na msingi juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…