Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Kwa hiyo amekiri kwa mdomo wake bila shuruti kwamba yeye ni Mzanzibari sio Mtanzania?
 
Wwe Huoni Tabu ilipo I?
Mimi sioni tabu yeyote. Kwani japo Tanzania ni moja lakini tamaduni na ustaarabu tunatofautiana kutokana na mahali/maeneo ya asili yetu.
Hata mimi nikakuficha asili/nitokako yangu, nikizungumza kiswahili changu, wewe mwenyewe utapozungumza na mke/mme wako utasema yule anatoka mkoa "A" au "B". Nami najivunia nitokako, wala sioni tabu juu ya mjadala wako. Au unataka nibane pua ili kiswahili changu kiwe kama chako?
 
Mkoloni aliyepewa nafasi ya kuitawala Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…