Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Bac kakosea yeye ni hangaya msukima siyo mzanzibar mola sana
 
Jamaa zangu wale wa team JPM hawaaminiki kama alishakufa na imeshatoka. Wamejawa na vinyongo visivyo na sababu. Wanamshikia bango mama kwa kusema yeye ni mzanzibari.

Wanashindwa kuelewa kwamba ni katika kujenga hoja kwamba anapomtumbua mtu haangalii suala la yeye kwao ni wapi.
Wewe ndiyo wale wale, kwahiyo wewe ni ni wa nani kama hukuwa wa JPM wakati akiwa Rais wetu? You guys are so cheap!
 
Kama kuna ujinga uliopitiliza kuhusu ubaguzi wa kikabila na kichama katika nchi hii uko Zanzibar na siyo bara. Angalieni hata chaguzi zenu huko Zanzibar zilivyo za kibaguzi na kijinga. Ni rahisi kwa Mhehe wa Iringa kuchaguliwa ubunge akiwa Bunda kuliko mpemba kupata ubunge maeneo yasiyokuwa na wapemba huko kwenu.
Mi sijaona kosa lake kwa kauli hiyo. Infact, alikuwa anawapiga dongo watanganyika. Tanzania ni Muungano wa nchi mbili. Tanganyika na Zanzibar. Bara ndio kuna huo ujinga wa Kabila ila kule ZANZIBAR haupo. Hivyo anawaambia nanyi achaneni na ujinga wa makabila. Yeye amesema wazi kwamba KABILA lake ni Mzanzibari. Hajasema utaifa wake. Kwanini kuna watu mna nongwa kwa kila jambo. Mna lengo gani kwani?
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!

====

Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...

Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.

Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Laanatullahi Nyerere labda ni Baba yako, yeye ndiye source ya matatizo yote Zanzibar , Tokea mavamizi Na huu uharamia unaoitwa Muungano. Nyerere alikuwa hatakiwi Tokea Day one Na ndio wanajeshi wakampindua. Ni Mwngereza katika jitihada zao Za kuinyonya Tanganyika ndio wakamrudisha kwa nguvu madarakani. Waingereza hawa ndio waliomruhusu apeleke jeshi Zanzibar Na kuivamia.
Zanzibar Hakuna ukabila ni hizi fitina Za Nyerere ndio zinasema eti Kuna waarabu. Uarabu Si kabila.ukabila uko Tanganyika
 
Iliwahi kutambuliwa lini kama sovereign state? Ndiyo nachokiongelea hicho siyo kutambulika kama sehemu. Zanzibar ilishatambuliwa kama sovereign state.
Ilitambuliwa na nani, ile ya mwaka 1963 na Januari 1964 kisha ikapinduliwa kwa kumwaga damu ndio unaiita 'Sovereign State'?
 
Kama kuna ujinga uliopitiliza kuhusu ubaguzi wa kikabila na kichama katika nchi hii uko Zanzibar na siyo bara. Angalieni hata chaguzi zenu huko Zanzibar zilivyo za kibaguzi na kijinga. Ni rahisi kwa Mhehe wa Iringa kuchaguliwa ubunge akiwa Bunda kuliko mpemba kupata ubunge maeneo yasiyokuwa na wapemba huko kwenu.
Hivi Kuna mchaga alichaguliwa mbunge Chato?
 
Kama kuna ujinga uliopitiliza kuhusu ubaguzi wa kikabila na kichama katika nchi hii uko Zanzibar na siyo bara. Angalieni hata chaguzi zenu huko Zanzibar zilivyo za kibaguzi na kijinga. Ni rahisi kwa Mhehe wa Iringa kuchaguliwa ubunge akiwa Bunda kuliko mpemba kupata ubunge maeneo yasiyokuwa na wapemba huko kwenu.
Zanzibar Na Tanganyika yake iliyopewa jina la Tanzania hakujawahi kuwepo kwa uchaguzi , Huo ni uchafuzi unaoitwa uchaguzi.
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!

====

Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...

Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.

Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Angesema kwao chattle angekuwa mzalendo?! Kwani ww hina kwenu?!
Mimi kwetu Tandahimba
 
Wewe uko sahihi kusema unatoka Tandahimba ambayo iko ndani ya utawala nchi inayotambulika kitaifa na kimataifa na yeye alitakiwa aseme anatoka Kazimuzumbwi-Tanzania Zanzibar kuliko kusema Mzanzibari wakati wabara wanabaguliwa sana na ukienda Pemba wanakuambia mtu wa bara hajui Kiswahili wakati baraza la kiswahili Tanzania (BAKITA & BAKIZA) zilishaweka sawa utofauti wa lahaja na lafudhi kwamba haziwezi kubadili matumizi ya maneno katika maneno hayo kwa mfano bara wanasema 'umenielewa'? wakati Zanzibar wanasema 'umenifahamu'?, bara-hiki wakati Visiwani wanasema hichi
 
Zanzibar ya waaafrika au Zenj ya waarabu? Hata Meru walishawahi kuomba uhuru kuwa jamhuri ya Meru
Zanzibar ya wanzibar , Si ya wavamizi kutoka Tanganyika ya Meri sijui Meri hayo ni yenu wenyewe ,sisi tunataka nchi yetu mliyoivamia kabla kutokea ya Eritrea
 
Kama kuna ujinga uliopitiliza kuhusu ubaguzi wa kikabila na kichama katika nchi hii uko Zanzibar na siyo bara. Angalieni hata chaguzi zenu huko Zanzibar zilivyo za kibaguzi na kijinga. Ni rahisi kwa Mhehe wa Iringa kuchaguliwa ubunge akiwa Bunda kuliko mpemba kupata ubunge maeneo yasiyokuwa na wapemba huko kwenu.
Yumkini huijui Zanzibar hivyo waache wenyewe.
 
Mawazo yako yanachakata mambo kwa kutumia masafa mafupi sana ndugu yangu...

Kwa hiyo kumbe kipimo chako wewe cha watumia social media ni idadi ya comments za humu Jamii Forums...?

Labda nikuulize swali moja dogo sana, kwamba, kwani wewe elimu yako ni ya kidato cha ngapi ndugu?

Ndiyo tatizo la mswahili unauliza shule ili iweje???

Achana na jamiiforum tuu,,,ingia insta uone ,,,refer millard ayo, nenda Twitter, Facebook and then linganisha na idadi ya watanzania wote.
 
Zanzibar ya wanzibar , Si ya wavamizi kutoka Tanganyika ya Meri sijui Meri hayo ni yenu wenyewe ,sisi tunataka nchi yetu mliyoivamia kabla kutokea ya Eritrea

I wish zanzibar ijitenge na ijitegemee kuriko kukaliwa kimabavu na lidanganyika.
 
Ndiyo tatizo la mswahili unauliza shule ili iweje???

Ili awe treated sawa na kiwango chake cha ufahamu na uelewa...
Achana na jamiiforum tuu,,,ingia insta uone ,,,refer millard ayo, nenda Twitter, Facebook and then linganisha na idadi ya watanzania wote.
Niingie huko ili nifanyeje? Unajua tulikuwa tunabishana kitu gani na huyo mjumbe mwenzangu? Au umedandia gari kwa mbele?
 
Ilitambuliwa na nani, ile ya mwaka 1963 na Januari 1964 kisha ikapinduliwa kwa kumwaga damu ndio unaiita 'Sovereign State'?
United Nations iliitambua Zanzibar kama sovereign state. Kama wewe binafsi huitambui Zanzibar kama sovereign state inamaana basi hata muungano wa JMT vile vile huutambui. Maana muungano unamaanisha nchi 2 siyo nchi moja iliyopanua mipaka yake (annexation). Yaani mpaka wa Tanganyika umesogezwa kufikia Zanzibar halafu nchi ikabadilishwa jina ikaitwa Tanzania. Upo?
 
Ili awe treated sawa na kiwango chake cha ufahamu na uelewa...

Niingie huko ili nifanyeje? Unajua tulikuwa tunabishana kitu gani na huyo mjumbe mwenzangu? Au umedandia gari kwa mbele?

Utaongea sana. But, mama anakubalika sana ingawa kuna machache anatakiwa ayaweke sawa,, katiba, chakula kishuke bei, tozo za miamala n.k.

Uyu mama mutamkubari tuu.
 
Back
Top Bottom