Rais Samia: Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ni urithi wetu

Pumba tupu; kwani hujasema ni miradi gani isitishwe.

Kuna tofauti kabisa kati ya kurithi majadiliano na kurithi miradi iliyokwisha anza. JPM alirithi Uwanja wa JKN na ulikuwa katika hali mbaya sana financially hadi karibu mkandarasi ajitoe lakini yeye akauendeleza. Alirithi mradi wa Kigamboni nao ukiwa katika financial troubles akauokoa. Alirithi majadiliano ya Bandari ya bagamoyo, hakuridhiana nayo na bado majadiliano yalikuwa yanandelea hadi anatangulia mbele ya haki. Tofautisha miradi iliyokwisha anza na miradi ambayo bado iko kwenye majadiliano
 
Miradi mikubwa ilikoelekezewa ni upande ule wenye kura ya turufu.
 
Tangu lini Nyumbu wakamtakia mema rais Samia hadi wampangie cha kufanya?

Hangaikeni na mzee wa MIGA mtetezi wa mashoga.
 
Muangalieni mtu mjinga huyu....
kasome ilani ya CCM kurasa 303
unadhani kiongozi wa nchi anabuni miradi yake kichwani!!???
Tz kuna mijitu mijinga kweli kama hili hamnazo
Acha kukariri basi! Kwa hiyo unataka kuniambia hata ule mradi wa magufuli wa kuwanunua wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzani chini ya uratibu wa akina Polepole na mnyeti nao ulikuwemo kwenye ilani yenu ya ccm?
 
Una ushahidi!!?? au na ww fikra zako zilipumbazwa na upepo wa wakati
 
Una ushahidi!!?? au na ww fikra zako zilipumbazwa na upepo wa wakati
Mbona ushahidi uko mwingi sana kutoka kwa wahusika! Kuna yule Diwani wa kule Arusha aliyesingiziwa kumbaka mwanafunzi, kisa alikataa shinikizo la kujiunga na ccm!

Mbunge wa Arumeru Mashariki wa awamu iliyopita Joshua Nassari alikuwa na clip inayo muonesha Mnyeti akimshawishi Diwani wa Chadema kujiunga ccm kwa kumpa ahadi, mbalimbali! Na ushahidi ule aliupeleka mpaka Takukuru, na hao takukuru wakaishia tu kupotezea kwa kumuogopa mfadhili wa huo mpango wa kishetani!

Bado tu unataka ushahidi?
 
I
Acha kukariri basi! Kwa hiyo unataka kuniambia hata ule mradi wa magufuli wa kuwanunua wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzani chini ya uratibu wa akina Polepole na mnyeti nao ulikuwemo kwenye ilani yenu ya ccm?
Ila nunua nunua ile imetupiga hasara sana, kichele Kama haoni hizi pigo yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…