Rais Samia: Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka, tukaze buti

well done Dr Samia Suluhu Hassan na serikali sikivu ya CCM unayoiongoza kwa kazi nzuri sana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

God bless you Dr Samia Suluhu Hassan 🙏
 
Nalipa kodi zote kwa wakati kwa sababu ya utamaduni niliorithishwa wa kuheshimu sheria kuwa mkweli na mwaminifu kwa watu na mamlaka halali, kama isingekuwa hivyo Serikali hii isingeweza kuiona hata shilling yangu moja ya kulipia kodi.
 
Sio tukaze buti. Arudishe maiti za wapendwa wetu tukazike.
 
Haya yote ni kwa sababu zifuatazo:
1. WHO ARE YOU?
2. Mauaji ya halaiki ya MO29
3. Kutoa takwimu za uwongo za kiuchumi.....kujifanya nchi ipo uchumi wa kati ilhali bado ipo mahututi kiuchumi.
4. Kuminya demokrasia na uhuru wa kujieleza.
5. Kumfunga Tundu Lissu bila kosa lolote.

Na bado. Mwaka huu maCCM na machawa wenu mtakula ma.vi.
 
kakilaza. sana
 
Maneno matupu, utekelezaji F
 
Hivi ukiwa CCM kusema ukweli ni kwao ni mwiko ehh! Si awaambie ukweli tu nchi haikopesheki tuu...
 
WHO ARE YOU?

Kaza sauti mazeri😀😀😀
 
Mkomeshe na matumizi mabaya na wizi mliozoea
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…