Rais Samia: Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka, tukaze buti

Rais Samia: Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka, tukaze buti

Mabadiliko ya kisiasa Gani awe mkweli 😄😄

Yote ni kwasababu ya mauaji yaliyofanyika
Mzee dunia nzima kuna hali mbaya.. vita ya middle east usiichukulie poa.. Iran amekamata sehemu nzuri sana kuiambia dunia anaweza akaleta Maafa.. we huoni mafuta yamepanda?au unadhani mafuta yamepanda sababu ya october 29?
 
Mimi sijawahi kuipokea na ikipotea nisawa pia haitonidhuru mana wanapewagwa wengine
 
Huku Zenji, wananchi, ndiyo sasa tunakula mema ya nchi.

Barabara zote hadi mchambawima zimewekwa lami

Serikali yetu tukufu imemwaga mabasi ya umeme kila kijiji

Petroli na dieseli bei sawa na bure, shillingi 2000 tu kwa lita

Maji na umeme ni kila nyumba na kama huna pesa unawekewa bureee kabisa

Mchele, ngano, sembe, tambi yote bei moja, shillingi 500 tu kwa kilo

Yakheeee, wazanzibari kweli maisha tumeyapatia.

Mungu amuongezee uhai binti yetu ili atuletee neema zaidi na zaidi
 
Tukirasimisha baadhi ya activities na kuongeza umakini kwenye kukusanya mapato ya ndani tunaweza punguza gap la mikopo na misaada iliyopungua.
 
Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026

''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "

Yote yanasababishwa na serikali iliyokataliwa na wananchi. Ccm ondokeni madarakani muone hii nchi itakavyostawi na kukua kiuchumi
 
Ila chalamila kichwa chake kimeeka powa sana kinafana na yule comedian
 
Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026

''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "

Takataka nyingine ya masjid
 
“Msaada kuondoka siyo lazima uwe funzo la kujitegemea, hasa pale ambapo mazingira ya kujisimamia hayajaandaliwa. Kabla ya kuwaambia watu ‘wakaze buti,’ ni muhimu kuhakikisha serikali imedhibiti matumizi mabaya ya fedha,ufisadi,wizi pia kuhakikisha Watu wamepewa fursa, rasilimali na mazingira ya kuweza kusimama kwa miguu yao.”
 
Na yy ndio chanzo wa haya yote.
Kazi ni kipimo cha utu.
 
Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026

''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "

Eti, "who're you", utakula jeuri yako!
Mugabe alikuwa na jeuri kama yako, angalia pale alipoifikisha nchi ya Zimbabwe.
 
Sababu ni MO29,
Yaani watanzania waadhirike ili SA100 awe Rais.
 
Back
Top Bottom