Kwanza anatakiwa atambue yeye ndiyo sababu kuu/chanzo kikuu cha hiyo misaada kuondoka.Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
Misaada inalemaza halafu huna uwezo wa kuzisimamia, kuzilinda na kuzitumia raslimali zako lukuki ulizojaliwa kwa manufaa ya nchi na wananchi wako!Misaada ina lemaza. Tuchape kazi
Unaambiwa chapa kazi huku wenzio wanaongeza maV8 katika misafara yao!Misaada ina lemaza. Tuchape kazi
kauli ya wao wale kwa urefu wa kamba zao ipo hajaitengua ujue....Kwanza anatakiwa atambue yeye ndiyo sababu kuu/chanzo kikuu cha hiyo misaada kuondoka.
Jambo la pili anatakiwa atambue Kiongozi siku zote unatakiwa kuonesha mfano. Atuambie yeye kama yeye amekaza wapi hilo buti? Kuwataka wananchi pekee kukaza buti wewe kiongozi na wateule wako mkiendelea kujineemesha, haileti mantiki.
Ndugu zako wote waliopona ukimwi huo sio msaada?Hiyo misaada haijawahi kuleta unafuu kwa wananchi zaidi zaidi ni watu wachache kufaidi hiyo mikopo
Kwa Sasa hivi kujitegemea ndio mpango mzima. Mama komaa hivyo hivyo!Utakoma
Rais anakoma kivipi?Utakoma
Kulikuwa na dawa ya kuponya Ukimwi?Ndugu zako wote waliopona ukimwi huo sio msaada?
Eti kwasababu uchumi wetu umekua🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kwanini inaondoka mheshimiwa sana?
OK,POARais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "