fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Mzee dunia nzima kuna hali mbaya.. vita ya middle east usiichukulie poa.. Iran amekamata sehemu nzuri sana kuiambia dunia anaweza akaleta Maafa.. we huoni mafuta yamepanda?au unadhani mafuta yamepanda sababu ya october 29?Mabadiliko ya kisiasa Gani awe mkweli ๐๐
Yote ni kwasababu ya mauaji yaliyofanyika
Huyu pengine anaweza akawa na Majibu kwa sasa.*Tulitokea huku!*sasa tunaelekea.......
Mtoto wa shule humu unafanya Nini?Kwa Sasa hivi kujitegemea ndio mpango mzima. Mama komaa hivyo hivyo!
Yote yanasababishwa na serikali iliyokataliwa na wananchi. Ccm ondokeni madarakani muone hii nchi itakavyostawi na kukua kiuchumiRais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
Takataka nyingine ya masjidRais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
Nachota madini ingawaje wengi ni makinikia. Mpaka nichenjue! Ahahahahaha!!Mtoto wa shule humu unafanya Nini?
Eti, "who're you", utakula jeuri yako!Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
''Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "