Rais Samia: Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka, tukaze buti

Inawezekana kabisa "pona yetu Tanzania" toka kwa mashetani hawa ikawa ni hii hali ya ukata.

Tusiipoteze fursa hii.

Tuitumie kujinasua toka kwa waovu hawa.
 

There is a very thin line between being loved and hated..being successiful and failure....between living in the world and going to ahera.

Mambo mengi yanafikirisha sana. Kwanini tushindwe kupata misaada? Mbona JPM aliposema tuamue kuwa donor country tukamcheka. Halafu tunarudi kulekule.

Mbona Mwalimu Nyerere alituasa kuwe na siasa za ujamaa na kujitegemea tukamuona hajui anachofanya. Na sasa tunarudi kule kule.

Kwanini awamu ya 3 na kuendelea iliamua kubinafisha kila kitu bila kujari madhara yake? Yes, kuna mashirika yalikuwa mabovu. Ila mengi yalikuwa mismanaged.

Kama Taifa tunakosea wapi? Ni dhahiri tumeacha kwa makusudi kuwa watu wanaofikiri. Tunatafuta njia rahisi ya kujenga Taifa letu.

Njia hiyo ni njia gani? Sioni namna tunaweza kujitegema kama tutaendekeza rushwa na wizi wa mali ya umma. Sioni namna tutajitegemea kama hatutaki kuheshimu namna ya kufanya kazi na biashara.

Biashara zifanywe na wafanyabiashara, tena kwa uwazi na ukweli. Kupiga deals na kufanya biashara kwa mgongo wa nyuma ni kujidanganya.

Kusema kweli Rais Samia amesema kitu ambacho kilikuwepo na kuna watu walishawahi kufanya kazi ya kujitegemea na kusema lazima tujitegemee...sasa bwana 😂 😂 😂 😂 😂
 
Muhimu tuache ujinga. Kitilq mwenyewe amekiri kuwa hata wazungu wanajua kukata misaada sio kikwazo tena. So tutarajie lolote lile kama adhabu endapo tutaendelea kukaini haki za binadamu.

Nimefurahi zaidi kujua tumepunguza sehemu kubwa utegemezi bila kujali ufanisi wa bajeti yetu.
 
Se
Nao waache kuishi starehe, raha na anasa!
Wanajinunulia magari ya mamia ya milioni ili iweje?
Kama kukaza buti waanze wao. Huku kwa wananchi wengi buti tushavua... Tumekaza hadi zinabana!
 
sababu ya Kutojua Kuongoza Nchi kwako
 
Hadi aseme poo
 
Kama kukaza buti ni dili aanze yeye na bashite ambaye amenenepa macho na matakooo.
 
Mama ungenyoosha maelezo
ingependeza zaidi.
 
Na kwa siasa hizi za majitaka hiyo mikopo itaondoka kwa Kasi ya kimbunga
 
Sababu hawataki kutimiza primary conditions kama vile democracy, human rights, etc. Zitarudi kama watasikiliza wengine. Ndo anawambia wa Tanzania maisha yatakuwa magumu sana.
Lete ushahidi wa hayo unayosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…