Rais Samia: Misaada na mikopo wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
 
Ndio anajua leo, alivyoingia madarakani ilikuwa kila leo ulaya au marekani kuomba hiyo misaada & mikopo...sasa hv kanogewa madaraka kaanza kufanya mambo ya hovyo wazungu wamekuja juu ndio analeta ngonjera eti misaada na mikopo hiyo vina masharti magumu!!
Sizitaki mbichi hizi!
Mabeberu kamatieni hapohapoo, msikubali kuachia!
 
Uko sawa kabisa lakini kwa nini kila mwaka tunakopa na tusijisimamie sisi wenyewe?.
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Huyu kenge tulishamuambia amuombe radhi Job Ndugai. Sijui amesubiri nini kufanya hivyo!
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Hapa mama kaongea ukweli nimependa.
 
In short inatakiwa aseme kwamba kwa miaka 64 serikali ya hii nchi imeshindwa kutotoa kwenye mnyororo wa utumwa na ukoloni...
na yeye na genge lake hawana jipya na wataendelea na yale yale...
 
Maneno mingi huku anaendelea kukopa... Yani hawa watu wanatuona watz wote hatujielewi...
Unajua Nini mkuu kasema Wakati mwingine hii mikopo inakuwa na masharti magumu kiasi kwamba tunashindwa kuwa huru lakini ndo hivyo hamna namna.
 
Zinaitwa debt covenants,representation na warranties
Ili uweze ku secure loan
Lazima ujibanike kweli kweli na ujitoe akili ili uweze kupata sijui ndio maana jamaa hawa disclose debt and aid contract?

Fikiria tu wewe unaenda bank unataka hela lazima ujinadi mtunakuamini na awe na uhakika hautakua default
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Uhuru wa kuteka na kuua wananchi wasio na hatia
 
Magufuli alilifanyia kazi hilo mkasema anafunga nchi
 
Na badoo!

Apigwe supana mpaka ateme bungo

Benki za kwetu tu hapa ndani hazikupi pesa hivihivi mpaka zijiridhishe unachokwenda kuzifanyia,

Yaani unataka upewe pesa za mkopo kwa ajili ya maendeleo ya nchi, halafu wakuache tu

Unataka wakuache ili ujiamlie namna ya kuzitumi? Mkanunulie vitenge vya kijani?

😂😂
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Kikwazo cha maendeleo hakiwezi kuwa misaada na mikopo, bali sheria na katiba mbovu ambavyo haviwezi kudhibiti rushwa, ufisadi na kusimamia haki.
 
Back
Top Bottom