Rais Samia: Misaada na mikopo wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu

Na badoo!

Apigwe supana mpaka ateme bungo

Benki za kwetu tu hapa ndani hazikupi pesa hivihivi mpaka zijiridhishe unachokwenda kuzifanyia,

Yaani unataka upewe pesa za mkopo kwa ajili ya maendeleo ya nchi, halafu wakuache tu

Unataka wakuache ili ujiamlie namna ya kuzitumi? Mkanunulie vitenge vya kijani?
 
Unajua Nini mkuu kasema Wakati mwingine hii mikopo inakuwa na masharti magumu kiasi kwamba tunashindwa kuwa huru lakini ndo hivyo hamna namna.
Ufike wakati tuachane na hiyo mikopo umiza ya mashart magumu...

Si wanatangazaga hapa na mapambio kuwa TRA wamekusanya matrilion! hayatoshi kwa miradi.? yani mpaka matundu ya vyoo mashulen ni mpaka msaada wa watu wa malekani..
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Rubbish
 
Huyu maza hajui anasimamia nini ni kama kuvulugwa vile
shit!
Msamehe akili ndogo mkuu, kwa akili ya kawaida hakunaga pesa za bure (no free lunch) lazima ziambatane na masharti fulani fulani...na kwa ulaya wanapenda sana habari za utawala bora na demokrasia.
Sasa kwakuwa mama kavurunda eneo hilo lazima wammaind, mbona iko wazi kabisa....sema hapo eidha anajitoa ufahamu au labda haelewi
Bank za ndani zenyewe mikopo inaambatana na masharti kibao, itakuwa pesa za wazungu kutoka Ulaya!
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Hayo masharti yuvisisiemu wangeyajua hakika wasimgekua wanakuja kusifia hapa🤣🤣🤣
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
sisi tunajuaje kama masharti ni magumu ama laah...je kama masharti ni laini tuu ila anatumia kinyume chake kwa kusema mashartj magumu ..sisi hatuyajui hayo masharti wayaweke wazi basi..lama wana nia yakuleta hayo maendeleo wanayo yahubiri kila iitwayo leo
 
Matatizo yetu hayasababishwi na kupewa misaada wala mikopo na kwa ujumla wake hayasababishwi na watu wa nje
Tatizo letu hatuna viongozi wenye dhamira ya dhati kutuletea maendeleo mbaya zaidi wao tu uwezo mdogo na hawajui hata inatakiwa kufanya nini kuleta hayo maendeleo

Leo wamejazana kuzindua dira ili walipane posho hamna cha maana chochote huko kujazana tu matumaini hewa
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.

Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.

Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Kuiba uchaguzi na kuua watu hovyo ndio uhuru tulioupigania na kuupata 1960
 
Rasilimali zipi ikiwa kauza?
Tumebaki rasimali watu, labda tufanywe manamba ili tujitegemee…!!
 
Mliofuatilia speech ya leo hakukuwa na mipasho yoyote huko?🤔
 
Kwa uwezo huu maendeleo tusubiri muujiza wa kishindo cha wakoma.
 
Raslimali zote za nchi unawagawia Waarabu, Wazungu na Wachina! Na bado una ndoto eti ya kujitegemea siku za usoni!! Viongozi wa Afrika ni changamoto kwa kweli.
 
Back
Top Bottom