Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
True or False?To Deal With High IQ People: Master Persuasion And Negotiation.
To Deal With Low IQ People: Carry A Big Stick And Look Like You're Willing To Use It
Sometimes use active resistence rather than passive resistenceTrue or False?
True
Huyu kenge tulishamuambia amuombe radhi Job Ndugai. Sijui amesubiri nini kufanya hivyo!Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.
Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Hapa mama kaongea ukweli nimependa.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.
Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Unajua Nini mkuu kasema Wakati mwingine hii mikopo inakuwa na masharti magumu kiasi kwamba tunashindwa kuwa huru lakini ndo hivyo hamna namna.Maneno mingi huku anaendelea kukopa... Yani hawa watu wanatuona watz wote hatujielewi...
Uhuru wa kuteka na kuua wananchi wasio na hatiaRais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.
Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Magufuli alilifanyia kazi hilo mkasema anafunga nchiRais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu.
Kipaumbele chetu ni kulinda na kutumia rasirimali zetu zilizopo nchini ziweze kujenga uchumi wa nchi na kuleta ustawi wa wananchi.
Kikwazo cha maendeleo hakiwezi kuwa misaada na mikopo, bali sheria na katiba mbovu ambavyo haviwezi kudhibiti rushwa, ufisadi na kusimamia haki.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.