Rais Samia: Misaada na mikopo wakati mwingine inaambatana na masharti magumu yanayoathiri uhuru wa kujiamulia mambo yetu

 
Unajua Nini mkuu kasema Wakati mwingine hii mikopo inakuwa na masharti magumu kiasi kwamba tunashindwa kuwa huru lakini ndo hivyo hamna namna.
Ufike wakati tuachane na hiyo mikopo umiza ya mashart magumu...

Si wanatangazaga hapa na mapambio kuwa TRA wamekusanya matrilion! hayatoshi kwa miradi.? yani mpaka matundu ya vyoo mashulen ni mpaka msaada wa watu wa malekani..
 
Rubbish
 
Huyu maza hajui anasimamia nini ni kama kuvulugwa vile
shit!
Msamehe akili ndogo mkuu, kwa akili ya kawaida hakunaga pesa za bure (no free lunch) lazima ziambatane na masharti fulani fulani...na kwa ulaya wanapenda sana habari za utawala bora na demokrasia.
Sasa kwakuwa mama kavurunda eneo hilo lazima wammaind, mbona iko wazi kabisa....sema hapo eidha anajitoa ufahamu au labda haelewi
Bank za ndani zenyewe mikopo inaambatana na masharti kibao, itakuwa pesa za wazungu kutoka Ulaya!
 
Hayo masharti yuvisisiemu wangeyajua hakika wasimgekua wanakuja kusifia hapa🤣🤣🤣
 
sisi tunajuaje kama masharti ni magumu ama laah...je kama masharti ni laini tuu ila anatumia kinyume chake kwa kusema mashartj magumu ..sisi hatuyajui hayo masharti wayaweke wazi basi..lama wana nia yakuleta hayo maendeleo wanayo yahubiri kila iitwayo leo
 
Matatizo yetu hayasababishwi na kupewa misaada wala mikopo na kwa ujumla wake hayasababishwi na watu wa nje
Tatizo letu hatuna viongozi wenye dhamira ya dhati kutuletea maendeleo mbaya zaidi wao tu uwezo mdogo na hawajui hata inatakiwa kufanya nini kuleta hayo maendeleo

Leo wamejazana kuzindua dira ili walipane posho hamna cha maana chochote huko kujazana tu matumaini hewa
 
Kuiba uchaguzi na kuua watu hovyo ndio uhuru tulioupigania na kuupata 1960
 
Rasilimali zipi ikiwa kauza?
Tumebaki rasimali watu, labda tufanywe manamba ili tujitegemee…!!
 
Mliofuatilia speech ya leo hakukuwa na mipasho yoyote huko?🤔
 
Kwa uwezo huu maendeleo tusubiri muujiza wa kishindo cha wakoma.
 
Raslimali zote za nchi unawagawia Waarabu, Wazungu na Wachina! Na bado una ndoto eti ya kujitegemea siku za usoni!! Viongozi wa Afrika ni changamoto kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…