johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sijajua kama vyama vingine mfano Chadema na ACT wazalendo wanalipa mishahara!Okay
CCM zaidi ya kulipiwa na Ikulu inapesa zinatoka wapi?Sijajua kama vyama vingine mfano Chadema na ACT wazalendo wanalipa mishahara!
Kupitia mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama!Na wanalipwa na serikali kupitia Ikulu
Viko sehemu gani?Kupitia mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama!
CCM ina miradi kila kona vikiwemo viwanja vya michezo.CCM zaidi ya kulipiwa na Ikulu inapesa zinatoka wapi?
Waulize Sugu na mchungaji Msigwa wanavijua!Viko sehemu gani?
CHADEMA hawana ruzukuCCM ina miradi kila kona vikiwemo viwanja vya michezo.
Lakini inapokea ruzuku pia kama Chadema!
Hakika.Safi Sana,hapo ndo utaona tofauti Kati ya chama Cha siasa na Saccos
#Kazi iendelee
CCM ipo juu ya sheria mzeeHao CCM hawasubiri uchumi utengemae kwanza au wanaopaswa kusubiri ni watumishi/waajiriwa wa umma pekee?
Nani kakudanganya?CHADEMA hawana ruzuku
Leo umelipwa posho upo vzrWaulize Sugu na mchungaji Msigwa wanavijua!
Ulitaka walipwe nani?Upumbavu tu usio na maana, yaani kodi za umma zinalipa wanaCcm?
Nani kakudanganya?