johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chini.
Hali kadhalika wasanii wa TOT sasa wameajiriwa rasmi na CCM, amesema Mh mwenyekiti.
Chanzo: ITV
Nawatakia Sabato njema!
Hali kadhalika wasanii wa TOT sasa wameajiriwa rasmi na CCM, amesema Mh mwenyekiti.
Chanzo: ITV
Nawatakia Sabato njema!