johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Uko ofisi gani ya chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko ofisi gani ya chama?
Viwanja vya michezo ccm wameviteka. Vilitakiwa viwe viwanja vya serikali maana vilijengwa wakati wa mfumo wa chama kimoja na vilijengwa na serikali.CCM ina miradi kila kona vikiwemo viwanja vya michezo.
Lakini inapokea ruzuku pia kama Chadema!
Ruzuku zenu mbowe anakula na mukya nyie kelele tu
USSR
Kwa mujibu wa shaka Wana mtaji wa Til.1.5Na wanalipwa na serikali kupitia Ikulu
Sabato ni nini..?...
Nawatakia Sabato njema!
Swali la maana sana.Hao CCM hawasubiri uchumi utengemae kwanza au wanaopaswa kusubiri ni watumishi/waajiriwa wa umma pekee?
Na sisi wanachama wa CCM Nchi nzima tumepunguziwa mfumuko wa bei na makali ya maisha.Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chini...
Chadema Hela zote wanampa Lema,Mbowe na MnyikaMwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chin...
Kodi zao za uwekezaji,ni mbinu tuuCCM zaidi ya kulipiwa na Ikulu inapesa zinatoka wapi?
Watajibeba wenyeweChadema Hela zote wanampa Lema,Mbowe na Mnyika
Hizo ni "fix" tu........Wanajamvi, jana mama alisema ameongeza mishahara ya watumishi kwa asilimia 89 na 25 kwa wenye mishahara mikubwa. Je hii ni kweli? Kama ni kweli mbona mimi na jamaa zangu hatujaiona hiyo nyongeza? Au anaongelea mwaka huu ndo ataongeza?
Naomba ufafanuzi kwa aliyemwelewa mama yetu mpendwa.
NitazimiaWanajamvi, jana mama alisema ameongeza mishahara ya watumishi kwa asilimia 89 na 25 kwa wenye mishahara mikubwa. Je hii ni kweli? Kama ni kweli mbona mimi na jamaa zangu hatujaiona hiyo nyongeza? Au anaongelea mwaka huu ndo ataongeza?
Naomba ufafanuzi kwa aliyemwelewa mama yetu mpendwa.
Watumishi walioongezwa mishahara na wa CCM,anapalilia njia yake ya 2025.Wanajamvi, jana mama alisema ameongeza mishahara ya watumishi kwa asilimia 89 na 25 kwa wenye mishahara mikubwa. Je hii ni kweli? Kama ni kweli mbona mimi na jamaa zangu hatujaiona hiyo nyongeza? Au anaongelea mwaka huu ndo ataongeza?
Naomba ufafanuzi kwa aliyemwelewa mama yetu mpendwa.
Watumishi wa umma wameajiriwa na serikali ila hao wa Ccm wanalipwa na chama Chao.Hao CCM hawasubiri uchumi utengemae kwanza au wanaopaswa kusubiri ni watumishi/waajiriwa wa umma pekee?
Kumbe taswira halisi ya kuufungua uchumi wa Tanzania tunaipata kwa kupitia mishahara ya wafanyakazi walioajiriwa na CCM na wala siyo tena kwa watumishi wa umma.Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chini.
Hali kadhalika wasanii wa TOT sasa wameajiriwa rasmi na CCM, amesema Mh mwenyekiti.
Chanzo: ITV
Nawatakia Sabato njema!