Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza umemtupia zigo la lawama? Elewa tu watu wanaamini ana baraka zako

Sasa umejiuliza Kama hawaendi sababu wanaogopa au wanapenda wanayoendelea...
 
Kule kwenye vita
MBWANA tunaweza sema limetoka kwenye Bwana "Sayyid"

ABDALLAH kwa maana ya Abdillah yaani mja wa Mungu.

Lakini bado hauna heshima! Umeliandika jina langu kwa kejeli kisa nipo tofauti na wewe kwenye kutafakari. Nimekusamehe.

Nimechoka, naipumzisha akili kwa muda huu nasoma comment za hapa na pale na kujibu mambo ninayoona hayatachosha kichwa changu.
 
Hammaz hivi umewai kufikiria mama Samia alikuwa Nani katika bunge la Katiba...umewai kufikiria mchakato wa Katiba mpya ulianzishwa na ccm? Umewai kufikiria mchakato ulizunguka nchi nzima? Uliwahi kufikia wananchi waliunga mkono kuwapo na Katiba mpya? Uliwahi kufikiria mamilioni ya fedha yalitumika kuandaa Katiba mpya? Binafsi ni mfuasi Sana wa mama Samia lakini katika hili atulize Sana kichwa maana linaweza likamshusha...kupambana na hili kutamualibia mambo kimataifa hili sio Jambo lake Wala Sera ya chama ni jambo la kitaifa....walilianzisha wenyewe ..kupambana nalo ni sawa na kupambana na makali waliyoyanoa wenyewe...chadema hapa sio wajinga ni nafasi kwao kuwaonyesha kuwa bado wapo...hawana kitu kingine...ni Katiba mpya...sioni sababu kuzuia mikutano yao...waache wakutanike si tumewaruhusu mikutano ya ndani...wataongea kisha wataondoka...suala la Katiba mpya nafikiri sio utashi wa mtu au chama kutaka iwepo,...watu Wana haki ya Kupata majibu ..serikali inatakiwa kutoa majibu kwanini haitaki Katiba mpya?...kwanini iliileta?...Nini ubaya wake? Haielezi badala yake inashindana na hawa watu...tunaitaji maendeleo ya nchi..tunaitaji misaada bila misaada hatuwezi kufika popote tusijidanganye...mbaya zaidi sharti kubwa la kupata misaada ni siasa Safi na demokrasia....unaposema chadema wanakosea ndugu nafikiri uko wrong ..maana wanajua wanachokifanya....mama Samia kuwa makini na wana siasa wasikuingize ktk siasa hizi ... Kemea ..maana vyombo vya kimataifa Leo jinsi vilivyotangaza hili Jambo...nimeshtuka sana
 
Chama changu kilikosea chenyewe toka mwanzo
Hatukujipanga kwenye MTAZAMO wa kimakundi kwenye VIZAZI

Yani kizazi kabla ya Uhuru wadai Uhuru hawa
Kizazi baada ya Uhuru nakizazi baada ya Uhuru yani kutoka kizazi TANU hadi ccm

Kwasasa tumechemka tujipange kujibadilisha sio dhambi

Tunazidi kujichelewesha
 
Chademas are using old fashioned tactics to fight vs new fashioned Ccm's tactics.
 
Tanzania sio kisiwa, lakini Mungu hakuwaumba watanzania ili waishi kwa kutegemea misaada ya wazungu.

Yes, tunahitaji katiba mpya , lakini sio kwa ajili ya kuwafurahisha wazungu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ CCM ya kujibu hoja kwa hoja ilishaondoka na Nyerere. Iliyobaki ni CCM inayojibu hoja kwa pingu, mabomu, mbwa na risasi za moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…